Hata mtangulizi wa Nasrallah, aliuawa pia, hakuna jipya hapo. Kwahiyo hawa watu ni replaceable. Kama vile kaondoka Haniyeh, kaingia Sinwar, wakimuondoa mmoja anaingia mwingine. Hata bongo, alivyoondoka mpendwa wetu Jiwe, akaingia Chura Kiziwi. Hakuna binadamu ambaye siyo replaceable.
Kikubwa ni kuwa Hezboullah wajitathimini sana, wana snitches miongoni mwao na walikuwa wamejisahau sana, walikuwa wanaishi kimazoea.
Nasrallah naye alikuwa anaongea sana, kama speech yake ya mwisho juzi, hakutakiwa kuongea, Israel forced his hand, akaingia kingi! Katikati ya speech kuna ndege za kivita za Israel zilipita na ile wanaita “sonic boom,” Nasrallah akastuka flani na kuyeyusha kama vile siyo big deal, nikajua tayari muheshimiwa achomoki safari hii.
Ila tusubiri uthibitisho toka kwa Hezboullah.