Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Bado Hezbollah hawajathibitisha taariza hii. Lakini hili nilijua tu litatokea baada ya mashambulizi mawili ya kwanza kufanywa na Israel.

Yemen wajiandae sasa, wao ndio wanaofuatia.
Hakuna wakuwaokoa hapo middle east.
Ayattollah rasmi nae kakimbilia kwenye mahandaki. Ile kauli ya Netanyahu kuwa mkono wa Israel unafika popote ndani ya Iran imemshtua sana Ayyatollah.
 
Paulo hakuwa myahudi bali alikuwa ni mtu mwenye asili ya kituruki.
Aisee sisi dini yetu haija-base kweny uongo na porojo, we work with evidence and proof, Paulo mwenyew alisema yeye ni myahudi, kwaio unataka kusema wewe unamjua vizur paulo kuliko yeye mwenyew??
Matendo ya Mitume 22:3
Mimi ni mtu wa Kiyahudi
, nalizaliwa Tarso, mji wa Kilikia, ila nililelewa katika mji huu, miguuni pa Gamalieli, nikafundishwa sheria ya baba zetu kwa usahihi, nikawa mtu wa jitihadi kwa Mungu kama ninyi nyote mlivyo leo hivi;
I am verily a man which am a Jew, born in Tarsus, a city in Cilicia, yet brought up in this city at the feet of Gamaliel, and taught according to the perfect manner of the law of the fathers, and was zealous toward God, as ye all are this day.
 
Kadinywa, huyu ndie aliapa kuwaondoa wayahudi 2040 kwa mpango wao wa pamoja na Iran.
Yupo zake na mabikra anachakata mbususu huko peponi.
Yesu.pia aliuliwa na hawa magaidi wa Israel,naye pia atakuwa huko peponi.
 
Sema hawa wajamaa huwa wana mikwala sana.....

Ukisikiliza hotuba zao kama wewe unaishi Israel unaweza usitoke nje Daima.......

Hotuba zao zimejaa ushujaa na maneno magumu Sana.........

Kwa kweli japokuwa wanauwawa lakini nawapongeza wanakufa wakiwa wanapigania wanachokiamini.......

Alale anapostahili kiongozi wa Hezbollah's
Unamkumbuka Al Saaf? Waarabu wachofanya ni kuhadaa ila ni wa kawaida sana.
 
Wayahudi hawamwamini Yesu usipotoshe. Mwokozi wao hajashuka
Lakini hao hao wayahudi ndo walikuwa wakristo wa kwanza na wa kwanza kueneza ukristo kina Paulo, stephano, maria, magdalena, suzana, mathayo etc. Ni phillipo tu ndo alikuwa myunani.

Huko hapo?

Ndo maana TUNAWAPENDA licha ya yote.
 
ukisikiliza US ni kama anafanya juhudi za CEASEFIRE...Lakini CIA + MOSSAD wanashirikiana underground ...
kuanzia GASA, IRAQ, SYRIA, LEABANON kote huko hakuna air defence system na kwa dunia ya leo technology ya DRONE ni habari sana. Dunia inapitia.
Tofauti na vita vya Israel vs Hezbollah 2006 ( ground fighting) leo hii tech imebadilika sana ( drone and air defence system,)...
I kili and kill and kill leaders but not ideology. Wataibuka wengine and resistance continue.
 
Its a resistance force, miaka ya 60 na 70 wakoloni kusini mwa africa walitumia mbinu za kuua viongozi wa kupigania uhuru lakini walichagua viongozi wengine
 
Ndio na tunaona fahari. Hongera wewe jitu jeusi unaeliabudu Jiwe moja jeusi mliolipa uungu kujiamini ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa liarabu.

NETANYAHU SASA HIVI NI MUNGU WA WAISLAM

NETANYAHU AKBAR
Nyeti za nyau,ndio waliomuua Yesu Kristo,magaidi hawa Waisrael.
 
Zile kelele za sijui israel anamuogopa hezbollah mara hao sio Hamas sijui nyokonyoko wana jeshi kamili wana mabomu zilizokuwa zinatoka madrasa mbona sizisikii tena..huyo ndo mzee Neta bado wale panya wa Houth watajuta
 
Hata mtangulizi wa Nasrallah, aliuawa pia, hakuna jipya hapo. Kwahiyo hawa watu ni replaceable. Kama vile kaondoka Haniyeh, kaingia Sinwar, wakimuondoa mmoja anaingia mwingine. Hata bongo, alivyoondoka mpendwa wetu Jiwe, akaingia Chura Kiziwi. Hakuna binadamu ambaye siyo replaceable.

Kikubwa ni kuwa Hezboullah wajitathimini sana, wana snitches miongoni mwao na walikuwa wamejisahau sana, walikuwa wanaishi kimazoea.

Nasrallah naye alikuwa anaongea sana, kama speech yake ya mwisho juzi, hakutakiwa kuongea, Israel forced his hand, akaingia kingi! Katikati ya speech kuna ndege za kivita za Israel zilipita na ile wanaita “sonic boom,” Nasrallah akastuka flani na kuyeyusha kama vile siyo big deal, nikajua tayari muheshimiwa achomoki safari hii.

Ila tusubiri uthibitisho toka kwa Hezboullah.
Nanukuu: "Kikubwa ni kuwa Hezboullah wajitathimini sana, wana snitches miongoni mwao na walikuwa wamejisahau sana, walikuwa wanaishi kimazoea".
Hezbollah wana "kiburi cha Punda". Hawajui kuzisoma alama za nyakati. Wanadharau kubwa mno hata pale adui wao in person aliwaonya bado walipuuzia.
Nchi ya Lebanon kwa sasa (2024), kundi la Hezbollah halina mvuto tena kama zamani na linalaumiwa sana kwa kuiingiza nchi ya Lebanon kwenye vita vikubwa kutokana na Msimamo wake wa kidini uliojificha kwenye kichaka cha siasa. Walebanoni Wanahoji umuhimu wa Kikundi cha Hezbollah kuzidisha urushaji wa maroketi dhidi ya Israeli kuanzia tar.8Okt. 2023 baada ya ule uvamizi wa Okt.7 ulofanywa na HAMAS nchini Israel. Majibu yanayotolewa na Hezbollah yanaibua sintofahamu na chuki kubwa miongoni mwa wananchi kwani ukionekana una kidomo-domo sana unapotezwa chap' ; ukiwa huungi mkono kile kinachoendelea e.g. kutoa nyumba yako itumike kuhifadhi silaha unafichwa mahali, vijana wengine wanapelekwa mafunzo ya kijeshi kwa nguvu, wale vijana watiifu wanapewa scholarships -mafunzo ya kijeshi Iran n.k.n.k. Ni katika hali kama hiyo baadhi ya wananchi huvujisha siri Bure au kwa Kuziuza kwa adui, wale maveteran waliokuwa wapiganaji zamani ila kwa sasa ni wazee wanazijua grid-locations za maeneo nyeti mbalimbali n.k.hao wote Hezbollah hatambui kwamba kwa vitendo vyao wanawasukuma watu watoe Taarifa zao kwa Adui.
 
Inawezekana Scanning ya maana imeshafanyika kwenye maficho yao yote hao magaidi na jamaa hajaonekana. Ndo maana wamesema anaweza hataasionekane wapate kumzika.
Kwa moto ule,atakuwa majivu au masizi. Nimemsikiliza mchambuzi mmoja CNN anasema bomu lililotumika ni la kipekee, na ni mara ya kwanza kutumika. Yawezekana lilikuwa mahsusi[ guided] kwake.
 
Back
Top Bottom