Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Huko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Vita ya ground isikie tu.Ni dhaifu zaidi ya udhaifu wenyewe kwakweli
Yaani wanashindwa na wanamgambo hawazidi hata elfu 2
Tena wako hapo tu pua na mdomo ila israhell sawa na mama ake mdogo us bila ya nyuklia hawana madhara kabisa kabisaaa
Toka hapo Igombe uende ukawaonyeshe jinsi ya kumaliza kazi Mkuu kwa harakaJeshi la israel ni dhaifu sana. Eneo dogo kuliko kisiwa cha ukerewe wanashindwa nini kumaliza kazi?
[emoji3][emoji3][emoji3] Majasiri wa JF wa kujifichia nyuma ya fake ID huwa mnachekesha sanaNi dhaifu zaidi ya udhaifu wenyewe kwakweli
Yaani wanashindwa na wanamgambo hawazidi hata elfu 2
Tena wako hapo tu pua na mdomo ila israhell sawa na mama ake mdogo us bila ya nyuklia hawana madhara kabisa kabisaaa
Ukisoma comments za pro Hamas kisha ukasoma na utitiri wa Threads za muanziasha mada utapata picha kamili kuwa hawa wamechanganyikiwa na hii vita.Sina uhakika kama wanapata hata muda wa kunywa maji.nguvu kubwa inatumika kuwatetea na kuwatia moyo wadhaifu, wasio na uwezo hata wa kujilinda tu wenyewe, wanaoumizwa na kuangamizwa kila uchwao bila sababu ya maana....
Mwenyezi Mungu ajalie mapatano na utulivu eneo la mashariki yakati...
Jamaa ana sifa zote za kwenda kufanya kazi ICU kuwatia moyo wale walio katika dakika za mwisho za uhai wao wa kuishi hapa Duniani [emoji23][emoji23]Hii imani ya kiwango hiki ni ya kuhamisha milima[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The Icebreaker, najaribu kureply picha ulizopost za mashoga inagoma kureply, aise hii jamiiforum sio! Kuna ualakini dhidi ya waislamu, jana nimeleta taarifa ya ushuhuda wa wanajeshi wa kizayuni kuuawa, wakaiondoa fasta, ila za upande wa pili akina MK254 wanaziangalia tu
Kuna upungufu mkubwa sana wa bikra huko hamas wamejaaWewe bikra yako unayo au uliipoteza kwenye chipsi na yai? Naona unawaonea wivu wenye bikra.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwana Utam una mikwara si mchezo. Moderator saidieni huyu ndugu malalamiko yakeHuko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Thread chungu nzima nikifungua zinagoma hata ile nnayosikia kua umeikimbia ya PUT IN na ZELENSKY nayo pia yagoma
Wazayuni wameona nawapiga spana wameona wanitilie figisu
Jibu swali nililokuuliza.Kuna upungufu mkubwa sana wa bikra huko hamas wamejaa
Allahu akbarKwa tafsiri ya kulazimika kutumia parachuti ni kama kujipiga mwenyewe.
Ndege za kivita haziwezi tena kutumika kwa maana ni kuwapiga wenzao na ukidondosha chakula unawapa chakula Hamas kwa sababu hakuna uhakika vitakapodondokea.
Kuna uhaba houris huko firdausWewe bikra yako ulitolewa lini?
Hahahahahahahaha kichapo kama kichapoWaache wafanye watakavyo mkuu,wao ndio wenye mamlaka ila on the ground kichapo kipo pale pale,
Wakiondoa picha uwe unazituma tena,wewe tuma tu,hakuna kurudi nyuma.
Pana thread unasoma unaishia kucheka tu.Cha kushangaza zaidi unakuta watu wanaamini na kuchangia kwa furaha kabisa kuwa IDF wameshindwa bila kuhoji hiki ulichoki note Mkuu.Ngoja tuwasindikize katika furaha yao lakini tukiangalia hata kwa Al Jazeera ambao ni Pro Hamas unakuta mambo ni magumu sana kwa wakazi wa Gaza na Hamas kwa ujumla.Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
Hata mimi nimetafuta askari walikozingirwa nikakosaLabda umesahau kuweka link ya chanzo chako. Chanzo ulichoweka hakisemi maelfu ya askari, kinasema mamia. Na hakisemi askari hao wamezingirwa
Israel wameshashindwa vita mkuuVita ya ground isikie tu.
Usishangae kuona israeli wakashindwa vita hii.
Nikikujibu nitafanana na wewe.Houri wanakaribia kumalizwa huko FirdausJibu swali nililokuuliza.
Tena sasa hivi Hamas wanaelekea Tel Aviv kumwondosha Netanyahu [emoji23]Israel wameshashindwa vita mkuu