Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Kwahiyo sasahivi Gaza ipo chini ya Israel?

Ficha ujinga wako kwa kutazama taarifa ya habari ya Al Jazeera ndiyo utajionea uhalisia.
 
Unavyoongea kama karunguyeye ingekuwa ni raisi hivyo si Netanyahu angeshangilia asubhi na mapema
 
Unaongea kama vile vita imeanza juzi vita ina miezi mitatu hiyo kwa hiyo umeme wamekata jana au juzi
 
,🤣🤔
 
Iliishagoma zamani sijawahi hata kuingia tokea niione
Mrusi nasikia vita imehamia CRIMEA wayukraine wanashambulia kutokea kila upande wanaitafta sochi sasa

Vita ipo Kyiv, msafara unakaribia, ilibidi kwanza madereva wa vifaru wachimbe dawa maporini.
 
Uzi wa waarabu koko kupeana moyo na kabla ya kwenda kufumua bikra 72
 
Upepo wa vita wiki hii unavuma kwa kasi dhidi ya Israel katika kaeneo kadogo sana.
Wakati wowote kwa uwezo wa Allah tutashuhudia askari wakikimbia vita kurudi nje ya mipaka ya Gaza.
Watakimbiaje wkt wamezingirwa ?
 
Jeshi la israel ni dhaifu sana. Eneo dogo kuliko kisiwa cha ukerewe wanashindwa nini kumaliza kazi?
Wakiamua kuua wote wanaokutana nao Gaza na kuchukua mateka wanaobakia hai kama wafanyavyo Hamas mtakaa kimya ?
 
Mshazijua level zenu ? Magaidi wakubwa mnaua waafrika huko Msumbiji , Somalia , Sudan kisa vmafundisho ya ugaidi yaliyo kwenye vitabu vyenu
 
Lengo la vita ilikuwa kuwamaliza HAMAS na kukomboa mateka. Yote hayo mawili hayajafanikiwa. HAMAS bado wapo na wanapigana. Hakuna mateka hata mmoja aliyekombolewa kwenye uwanja wa mapambano zaidi ya wale waliobadilishana kati ya HAMAS na IDF. Walichofanikiwa IDF ni kuua raia wasio na hatia na kuharibu makazi na miundombinu mingine. Unajiuliza hili jeshi linalosifiwa sana duniani kwa ustadi kweli linatumia takriban miezi miwili kukabiliana na wanamgambo kwenye kaeneo kadogo tu hako na hakuna mafanikio? Vita hivi vimewaumbua Israel na mashabiki wao duniani kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…