zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wala sio propaganda ni UN resolution ya mwaka 2004 litamka wazi kuwa Israel iondoe walowezi wake ndani ya ardhi ya Palestine hasa westbank.Mkuu uzuri historia ya wayahudi na waarabu wa palestina ipo wazi....!!!
Kauli yako ni ARAB,S AND MUSLIMS STATE OF MIND TOWARDS JEW,S......uzuri we dont buy cheap propaganda against jew,s!!!
Mimi ni mkristo, Biblia inakataza kuua. Hata alimuadhibu Mfalme Daudi kwa kuua wacanaan wasio na hatia.Mungu yupi sasa kakataza watu kuua........usifananishe mungu wa kiarabu Allah na mungu wa kiyahudi Yehova.
Hao waafrika kusini waarabu.........leta picha zao tuone kama ni wabantu?????Hao wayahudi unajua wameua waafrika kusini wangapi during genocide? Ndio walikua wanawapa makaburu silaha na pesa kuua watu weusi. Na hakuna mahali Israel watu weusi wanaheshimika, wanatuona masokwe tu nashangaa mnavyojikomba kwao.
View: https://youtu.be/jrWLEjPLqVg?si=ctr7vksHgANHU6oH
Msikilize huyo kiongozi wa kidini huko kwa wayahudi akituita manyani
Ushawahi kukaa na wasilamu?Umeshasema wamepigwa na Hamas sasa kwanini wapigwe wanawake na watoto wasiohusika? Sheria za kimataifa haziruhusu hizo otherwise Hitler asingelaumiwa kwa kuchinja wayahudi kama kuku!!
Kwahiyo ulitaka waarabu wakiwaua wayahudi.....basi wayahudi wasilipize kisasi?????Mimi ni mkristo, Biblia inakataza kuua. Hata alimuadhibu Mfalme Daudi kwa kuua wacanaan wasio na hatia.
Someni biblia vizuri acheni ushabiki
Biblia ipi??? na mstari upi???Mimi ni mkristo, Biblia inakataza kuua. Hata alimuadhibu Mfalme Daudi kwa kuua wacanaan wasio na hatia.
Someni biblia vizuri acheni ushabiki
Sasa kati ya waarabu na wayahudi......nani mkazi wa kwanza pale?????Wala sio propaganda ni UN resolution ya mwaka 2004 litamka wazi kuwa Israel iondoe walowezi wake ndani ya ardhi ya Palestine hasa westbank.
Nikisema walowezi naona wengi hamuelewi, ni wale waisrael wanaoishi NDANI ya mipaka ya sasa ya palestina. Wapo zaidi ya laki 5 sasa hao wakipigwa risasi mnadai Palestina imevamia Israel?
Ni ajabu sana
Hata waarabu wanawaita nyie Wabantu GAWESH...,..au hujui????Hao wayahudi unajua wameua waafrika kusini wangapi during genocide? Ndio walikua wanawapa makaburu silaha na pesa kuua watu weusi. Na hakuna mahali Israel watu weusi wanaheshimika, wanatuona masokwe tu nashangaa mnavyojikomba kwao.
View: https://youtu.be/jrWLEjPLqVg?si=ctr7vksHgANHU6oH
Msikilize huyo kiongozi wa kidini huko kwa wayahudi akituita manyani
Sasa kwa waarabu wewe mweusi unadhani unaheshimika.......kama hawatokuita KAFIR...,.......ukiwa muislamu watakuita GAWESHHao wayahudi unajua wameua waafrika kusini wangapi during genocide? Ndio walikua wanawapa makaburu silaha na pesa kuua watu weusi. Na hakuna mahali Israel watu weusi wanaheshimika, wanatuona masokwe tu nashangaa mnavyojikomba kwao.
View: https://youtu.be/jrWLEjPLqVg?si=ctr7vksHgANHU6oH
Msikilize huyo kiongozi wa kidini huko kwa wayahudi akituita manyani
Israel shikilia hapo hapo. Kwani Hamas hawasikii njaa mzee. Walitafuta vita wacha wapewe. Waache kulia. Kama ni wanaume waje front kupigana sio unanificha nyuma ya wake zenuKama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.
Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi la watu risasi na kuua wapalestina 100.
Haya yakiwa yanafanyika kuna watu wanafurahi, wanapenda, wanachekelea na wanatamani hawa wapalestina wasio na hatia wanedelee kuuawa
Taarifa za hilo tukio unaweza kuipata hapa:
Hukuwahi kutoa point ya maana.Ushawahi kukaa na wasilamu?
Mtoto Mwizi anachoma watu visu kuiba wanamlinda.
Na ukute wako 10 humo ndani utachoka.
Hata mafuta ya kula anaiba anapeleka kwao.
Nenda kashtaki.
Ndo hao mnaita wamama na watoto wanauliwa.
No ndio hiyo migaidi miuaji na wazazi wao na watoto wao full Stop.
Wewe una undugu na wapalestina?!🤣🤣
Funzo Kwa hamas, ugaidi haulipi
Mkuu Unalifikiria haliwezi kuwa sawa... Hakunaga vifo visivyo na Sababu so binadamu si kwamba hawana akili kama unavyofikiria... Kaa chini ujue sababu na sio kujitoa akili kama Umetoka msikitini kuswali..Binafsi ninapo kumbuka kuwa hao wa Palestina ni just innocent civilian like me,wanauwawa kila siku huku Dunia mzima inaangalia bila kufanya chochote,Huwa najisemea life is meaningless.
I don't even see the hand of God there helping them.
Ungewaambia ndugu zako katika imani Hamas kwamba ugaidi haufai. Unasabaisha madhara Kwa raia wasiokua na hatia hasa wanawake na watotoPumzi inakupa kibri, siku umauti unakufika ndio utacheka vizuri
Sadly indeed!Kitendo cha Israel kupeleka ndege na kuua watu wanaokaribia kufa kwa njaa wakisubiri chakula ni tangazo la wazi la kushindwa vita kwa taifa hilo la kiyahudi.
Ukiondoa ukimya wa mataifa ya kifalme ya kiarabu yanayoongozwa na watu kama mwanamfalme wa Saudia waliokaa kimya,viongozi wa nchi nyingi wamelaani kitendo hicho.
Jumla ya watu 112 tayari wametangazwa kufa katika shambulio hilo la ndege kaskazini ya Gaza.Watu wengine karibu 1000 wameumia vibaya katika shambulio hilo.
Idadi hiyo ya watu ilikuwa imejikushanya karibu na malori machache ya misaada wakati ndege za kivita ziliporuka juu yao na kuanza kuwadondoshea mabomu mazito juu yao.
View attachment 2920933
Israeli massacre of Palestinians waiting for Gaza aid trucks
Israeli forces have killed more than 100 people waiting to collect desperately needed food aid in northern Gaza.www.aljazeera.com
Mzee acha kuongea ujinga,huu ulioandika hapa ni ujinga kusema kwamba kuna kitabu kimesema hayo maneno hapo juu ktk bold,na kitabu hicho kama kipo kitakuwa kimeandikwa na mjinga asiyejua ni nini maana ya maisha ya dunia hii.Qur’an ilishamaliza kila kitu, Mayahudi na Wakristo hawatakua radhi nasi mpaka tufuate mila zao
Ndio tuyaonayo na kuyashuhudia wakifurahia mauwaji dhidi ya ndugu zetu wapalestina, Iraq, Libya, Afghanistan, Sudan n.k. usiende mbali hapa hapa Tz wasio waislamu wanaishi pamoja na waarabu/waislamu miaka na miaka lakini most of them nyoyo zao bado zimejaa chuki, roho mbaya, ukatili. In short vifua vyao vimejaa chuki.
Mazayuni wamemaliza kazi waliojidai itawachua wiki mbili tu? ama bado, Kulikoni? A huelewi?Kwa akili ndogo ya Hamas walifikiri watatafutwa wao baada ya tukio la october 7.
Waisrael lile tukio la october 7 wamelihamishia Gaza.
Hii inaitwa mkanye mkeo, mwambie gari siyo yangu
FaizaFoxy
Hawa ni umaskini na elimu vimewapita pembeni.Mbona inajulikana wenye chuki ni wafuasi wa mudi?
Angalia hii video clip fupi ulete mrejesho..
View: https://youtube.com/shorts/FX-zRwmuxc8?si=cI9NSjIZ8Wol8xI8
Sasa na wewe ndiyo umekuja kuandika nini hapa?Mazayuni wamemaliza kazi waliojidai itawachua wiki mbili tu? ama bado, Kulikoni? A huelewi?