ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

Hii nchi ya ajabu kweli. Wanaemtenga ndiye mtetezi wa uhuru wa habari.
 
Acha kuota mchana kweupe hivi hebu toka usingizini huyo Lissu labda awe Rais wa Gheto
 
Ni kwamba hatuhitaji kumsikia, anapayuka sana. Mwambieni atulie Kama kweli anataka kuikomboa nchi hii..aongee mambo ya maana sio magomvi kila kukicha
Hahah kipenzi cha wanyonge lugha zenu za Stiglers,sgr hazisikiki tena hahah.
 
Hapana
Magufuli anatakiwa kuyasikia maneno magumu magumu ya Tundu kama yalivyo sio yale yaliyopakwa asali kwa juu.
Kuna mzee wangu mmoja kwa sasa ni marehemu,aliniambia kuwa ili uwe bora zaidi katika kila ukifanyacho,ruhusu masikio yako kusikia yale wasiokutakia mafanikio kusikia.
Naamini kama tungekuwa na uhuru wa mawazo mbadala na kuyaongea yale tunayoyaona kuwa hayaendi sawa,kwa binadamu timamu na aliyekamilika kama kiongozi,lazima tungekuwa tumepiga hatua sana,kwani tungejirekebisha kutokana na hayo mameno ya wapinzani wetu.
 
Hahahaha haha Ndoto kama hizi hata kichaa hawezi kuziota.
 
ITV Super BLUNDER; COWARDS PER EXCELLENCE!



 
Ile hamu ya kutafuta na kuisikiliza taarifa ya habari ya ITV siku hizi haipo kwangu kwa vile sioni tofauti na TBC ya ccm,waliyoipokea kwa watanzania wazalendo
Siyo ITV pekee bali zote za IPP Media Radio na TV zinaunga mkono juhudi mpaka Capital TV inaonyesha vipindi.vya Capital Radio mpaka inakera. Super Brand? My foot, shit!
 
Walikuwa na Tanzania daima limepigwa pini, tena kipindi muhimu cha uchaguzi
 
Raha ya maisha miliki chako usitegemee cha jirani. Kwani shiin ngapi........

Natumia arial
Anza kwanza kufanya utafiti kuhusu masharti ya kumiliki hicho chombo, namna ya kupata hayo mawimbi na umbali wa hayo mawimbi.
 
Uwe mpole nani arushe utumbo ?
 
Nadhan tungewapa nafas ya wao kujieleza kipi kilitokea na kwa nin kabla hatujatoa hukumu ya kibabe km tunavyotoaga.

Mkuu hata radio one walikuwa Live, muda wa Lissu kuongea ulipofika wakakata matangazo.

Yaani hawa ITV na vyombo vyao, kitwndo walichofanya ni kitendo cha kihuni sana.

Cowards!
 
Ndo maana nasema Membe ni Janja ya CCM kuumaliza upinzani tena kama walivyofanya kwa Lowasa ndo maana ACT mikutano yao hata Vyombo vya habari vinaoneshaa..!! Lakini Chadema hawawezi sababu watanyooshwa
Kuonyeshwa live ni mpaka ulipie ,je wamelipia?,wakakataliwa?
 
ITV wapo sahihi kabisa.awawezi kubali kurusha maneno yatakayoleta taharuki kwa taifa.
Mkuu msikalie humu humu Tanzania na kufatilia habari za ccm na Magu tu.tafuteni maarifa ili ujinga uwaondoke,wanaondoka madarakani watu wenye akili zao na hakujawahi kuwa na taharuki,sembuse huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…