Uchaguzi 2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

Ruzuku ilio muhimu ni ya kumsimamia mgombea kuhakikisha anapata haki yake wakati wa kuhesabu kura.Ingegawiwa kwa kila mgombea kumlipia gharama za observer wake.
 
Gharama za wagombea wanazotakiwa watumie katika kampeni je! wamezitaja??

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347

Source East africa radio...
 
Kuna Wagombea wanaleta maandamano na kejeli hao wapigwe spana tu
 
Idadi ndogo hata nusu ya watanzania tume wameshindwa kabla ya kuanza nilitegea watanzania wote wajiandikishe tuko zaidi ya milioni 60 kazi ya tume ni hipi
Wewe ulijiandikisha?! You sound like one with unsound mind.
 
Uchambuzi mzuri sana
 
Dogo nilikua nawakumbusha tu. Kususia mliona munamkomoa Magufuli, kumbe munajiumiza wenyewe.
Hajasusia mtu msianze kutengeneza mazingira ya wizi tumejipanga hata wenye chama wanajua hilo ndiyo maana sarakasi kama zote,mara wasani mara viongozi wa dini,mtakoma safari hii.CCM imeshakuwa ufalme uliofitinika, hii mbungi inaanza kuchezwa huko huko ndani ya nyumba yenu.
 
Mkuu acha wapige marufuku vyombo vyao vya habari kutangaza. Sisi tutaendelea kuhabarishana wenyewe kwa wenyewe. Ukipata habari unahakikisha inawafikia wengine mia kama nifanyavyo hii

 
Ngoja tuone mkuu.
 
Hivi kweli inaingia akilini yaani Watanzania milioni 60; halafu wapiga kura milioni 29.

Hivi inawezekana kweli au fix tu.
 
Safari hii gharama zote za uchaguzi shilingi bilioni 331 tutagharimia wenyewe hatuhitaji pesa za wafadhili

mkurugenzi mkuu wa Time ya uchaguzi aliongea na vyombo vya habari kasema pesa zote Ni zetu wenyewe

Hi ni Mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru kugharimia uchaguzi Bila kutegemea ufadhili wa n

Waangalizi wa kimataifa wamealikwa wa nje

Hongera Raisi Magufuli
 
💩💩💩💩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…