sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Ruzuku ilio muhimu ni ya kumsimamia mgombea kuhakikisha anapata haki yake wakati wa kuhesabu kura.Ingegawiwa kwa kila mgombea kumlipia gharama za observer wake.Na vituo vya kupigia kura nchi nzima tangu 2015 viliongezwa kufikia 72,000 nchi nzima, Kuna mtu wa upinzani aliwahi kuvihesabu?, hao wapiga kura milioni 29 unaweza kunionyesha majina yao na kujua Kama kweli Wana exist?,je CHADEMA ina ubavu kusimamisha wasimamizi wawili wawili na makini vituo vyote 72,000 nchi nzima na kuwalipa per DM?...