Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

Umedhihirisha uduni wako wa akili. Jibu hoja ya Warioba, siyo huu upuuzi uliouandika. Hata akili ya kutambua tu hoja, nayo umeikosa?
 
mkuu wakati unaandika ulikuwa wawaza unajibu hoja kwa hoja ama wale wale kina lusinde

maana umeandika upuuzi, kuliko upuuzi wenyewe
 
Mzee Warioba ni super intelligent. Wenye akili wote wanamwelewa. Lakini wale mentally retarded, hawawezi kumwelewa.

..wakati watu wanabambikwa makesi, wanatekwa, na kupigwa marisasi, Mzee Warioba aliwahi kuwasemea?

..au "damu nzito kuliko maji," sasa anamtetea Bashiru kwasababu ni mwana-Ccm, angekuwa mpinzani anashambuliwa Mzee Warioba angekaa kimya.
 
"Unadhani" niko kinadharia zaidi, naishia hapo.

Mengine yote uliyoandika hapo umejaza hisia na historia tu, wakati nimeshakwambia hapa ni suala la kisheria na haki za mtu, naona hatuelewani,
 
Na upande wake wanaanza kutoka mmoja mmoja
Yaani waswahili hawawezi kuficha hisia zao
Tutaona wengi wanajibu haya sisi tunawachora tu
Kwa kujibu utumbo wanawahi sana ila maji na umeme huwasikii wakionhelea maana wao haliwahusu
Kwao umeme na maji ni 24/7 they don't give a toss
 
Kwamba platinum credit imefilisika?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
CCM ni chama cha kidemokrasia ndio maana watu wanatofautiana na mwisho wanaelewana.

Huwa hawaelewani, bali wakati wa uchaguzi inabidi wawe wamoja kinafiki, maana wanajua wakipoteza uchaguzi nusu yao wataishia jela kwa dhuluma walizofanyia nchi hii.
 
Wewe na Msukuma jahazi moja la wapuuzi.
 
"Unadhani" niko kinadharia zaidi, naishia hapo.

Mengine yote uliyoandika hapo umejaza hisia tu, wakati nimeshakwambia hapa ni suala la kisheria na haki za mtu, naona hatuelewani,

..Dr.Bashiru ni fedhuli wa awamu ya 5 leo mnataka wahanga wa ufedhuli wake na Magufuli wajitokeze kumtetea?

..Dunia haiendi namna hiyo. Muache Dr.Bashiru atetewe na genge la mafedhuli wenzake kwani bado wapo serikalini na ktk chama.
 
Nakubaliana kabisa na Mzee Warioba. Tutaiharibu nchi yetu endapo tutafanya kila mtu na kila chombo kuwa cha kuimba mapambio na kusifu. Chombo cha kuwatetea wakulima kifanye kazi yake ya utetezi, siyo kusifu.
Asante Jaji Warioba kwa busara zako.
 
Vilaza na Chawa kama wewe huwezi msikiliza na kumuelewa. Wewe endekelea kumsikiliza Kihongosi na Shaka.
kama kuna kiongozi anayeheshimika nakuaminiwa na Watanzania basi ni pamoja na Jaji Joseph Sinde Warioba,,,,,jibuni hoja achana na jaji...
 
Bashiru yeye katoa maoni yake kanyamaza, ukitaka yachukue hutaki acha ila yeye hahitajiki kufanya lolote juu ya maoni yake.
 
Warioba amesema mjibu hoja si kushambulia watu .

Kwa hata yeye shambulia hoja yake . Usimshambulie Warioba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…