Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu


Chama kimejifia, ila ili CCM iendelee kukaa madarakani lazima wizi wa kura kwa kushirikiana na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Uza tu ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
 

15 October 2013


Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Singida kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Nyuma ni James Mbatia NCCR Mageuzi, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi
 
Are you going to lift the absolute immunity and bring up a civil litigation for the acts undertaken during his tenure?!!!

Otherwise you are just throwing childish temper tantrums......

At the opportune time the so called absolute immunity can be lifted!! Things change with time, they have never been stagnant. Aren't you aware of heads of state who are behind bars because of their past deeds while in office?
 
15 October 2013


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mzungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa vya Upinzani, Ikulu jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara. Phillip Mangula (kulia kwa Rais), leo 15 October 2013
 
15 October 2013


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mzungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa vya Upinzani, Ikulu jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara. Phillip Mangula (kulia kwa Rais), leo 15 October 2013
😍
 
Hamna barakoa hata moja.

Amandla...
 

On point,ila mbwembwe nyingi sana.


Uongozi makini ni kuchukua mazuri, kuyaacha mabaya, at least kurekebisha.

Kila uongozi, utawala kuna vitu utakosea, kuwa sawa, muhimu kuiunganisha nchi, tuache ujinga, maneno ya ajabu kama Sukuma Gang, hayatatusaidia. Ni Silly strategy, losing game.
 
Huyu Mzee hii nchi ngekuwa ni China, sijui kama leo angekuwepo
Angeweza kuwepo sana tu. China inaendeshwa kwa “selective justice”.

Ulaji (ufisadi) ni ruksa kwa “members only” na kwenye maeneo wanayokubaliana. Hao hulindwa sana. Mafisadi na wapinzani wasioambatana na wenye nchi (CPC vanguard) ndio hutolewa mfano wa sham justice na risasi.

Tunalingana kiasi ambapo kwetu walio madarakani ndio wanaoamua nani ahukumiwe kwa ufisadi, uhujumu uchumi, utakatishaji pesa, ugaidi, nk. - kwa amri toka juu.
 

..alikuwa anaitwa Captain Ukiwaona Ramadhani Mwinshehe Ditopile Mzuzuri.

..Nnauye, Kinana, Kikwete, Makamba, walikuwa makamisaa wa siasa Jwtz.

..wao walitokea kwenye chama wakapelekwa jeshini.

..hawa sio askari kama wakina Musuguri, Kombe, Mboma, Kitete, ambao waliandikishwa jeshini, na wakatumikia huko mpaka kustaafu.
 
Capt. Ditopile Mzuzuri amefufuka kuja kushiriki kongomano la leo??? Andika vitu unavyovishuhudia na si unavyovifikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…