Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Mkuu naona umesahau according to madam president alimwita Boss wangu au umesahau? Boss huwa hapingwi
 
Unamiaka mingapi ndugu??
 

Hiyo itakuwa ngumu sana kuirebisha kwa sasa.
 
Karma is real
How Sasa mbona wazungu wanawaibia watu, wanawaua, wanatengeneza vita wanauliwa watu wengi kwa kuuza silaha zao Ila bado wanazidi kudunda jamani.
Waafrika wanaibiwa Kila siku wao wanazidi kuwa masikini, magonjwa ,ujinga ni WA kwao
 
Imeshuka Imeenda wapi kwasasa wenye Akili wengi umuombea maisha marefu Asa kipindi nchi taifa lipo kwenye kujitafuta upya baada kuondekewa na Marais wengi wastaafu.
Akifa Leo watu watashangilia
Angekufa 2015 wengi wangelia
 
How Sasa mbona wazungu wanawaibia watu, wanawaua, wanatengeneza vita wanauliwa watu wengi kwa kuuza silaha zao Ila bado wanazidi kudunda jamani.
Waafrika wanaibiwa Kila siku wao wanazidi kuwa masikini, magonjwa ,ujinga ni WA kwao
Karma inashika mtu mmoja mmoja sio taifa
Ukifanya jambo lenye maslahi kwa nchi yako hakuna karma,ni sawa na jaji akikuhukumu kifo sio yeye ni Sheria imeamua hivyo
 
Wafuasi wa jiwe ni watu wa ovyo sana. Jiwe alitumia ujinga wenu kujinufaisha huku nyie akiwaita wanyonge. Hata kuandika tu hujui. Aisee
 
Msoga ana tamaa sana ya madaraka na utajiri licha tetesi za kunufaika kupitia wanawe ESCROW , yeye majumba na kila kitu kufadhiliwa na serikali,mkewe kula za mwenza na ubunge na mwanawe za ubunge na uwaziri hatosheki
Naona snamfukuzia Rostam Azizi na kuona mbona watoto wa Mwinyi na Karume waliukwaa urais kwanini asiwe na mwanawe pia.
 
Du...imekuwa hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…