Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Unataka na wewe akuoe, au mnataka kupelekewa moto familia nzima, nyie huwa hamkawii kugawa ubingwa kwa mashemeji zenu.
 
Nyie itakuwa mnapenda maisha ya kufuatana kama kumbikumbi tu.
 
Kama una hamu ya kuongea nae sana mwambie Dada yako arudi nyumbani alafu we ukaishi ni mume wake
 
anasema ndo alivyo
Hiyo ni hulka yake tu.

Sio yeye wapo wengi tu wa namna hiyo na hawana baya kabisa na undugu huo uliounganishwa na ndoa.

Kitu kingine, kuna watu wanapenda wapigiwe au wasalimiwe mara kwa mara hatabl kama hamna kitu cha maana cha kuzungumza, hiyo nayo ni kero.

Acha mumisiane kwa muda kidogo ili mkiwasiliana muwe na mapya ya kuambizana.
 
Hivi unawapigia pigia ukweni ili iweje kama sio kutaka kupigwa vizinga

Mimi wakwe siwapigiagi tena sio kukwepa vizinga ila najikuta sina story za kupiga nao
na utaongea nin na wakwe. kuwe na ishu nzito ndio utaskikika.sio ipite siku mbil simu simu mnaongea nin sasa? wazee wengine kwanza hawamaind ishu za kukaa deile unawachek.ukute mzee bandidu yan unajifanya kunsalimia kwamba ndio ajue unalala na mwanae . wewe broza achana na ishu ya kutaka kumzoea shemej yako labda kaukuona umemaliza form four huna ishu au dogolas sasa mtaongea nae nini?
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
tena wrwe wa ajabu
sisi kuna mshakaj kaoa dada yetu binafs mim sijawah kumuona wala hatjawah hata kuonana mpaka leo
 
tena wrwe wa ajabu
sisi kuna mshakaj kaoa dada yetu binafs mim sijawah kumuona wala hatjawah hata kuonana mpaka leo
Mimi shemej alimuoa dada angu mwaka 2010 tumekuja kuonana mwaka 2023 na ndio akachukua namba zangu huwa namchekigi WhatsApp hasa kukiwa na inshu ya kifamilia

Pia nambustigi kiaina pale akiwa na shida huwa ananicheki kwa sms
 
Inaonekana mna umasikini wa kupindukia
Mahari haiwezi fanya ukawa tajiri ndugu yangu
utasabisha dada yako aishi kwa manyanyaso
mimi binti yangu akiolewa sitadai mahari ila mambo ya kimila
nitatimiza wazee wangu blanket na zawadi zawadi
mimi siuzi mtoto wangu
 
Ana miaka mingapi bintio mkuu nijiweke karibu😀
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no
Mkuu kichwani upo sawa kweli????
 
Back
Top Bottom