Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka na wewe akuoe, au mnataka kupelekewa moto familia nzima, nyie huwa hamkawii kugawa ubingwa kwa mashemeji zenu.huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hiyo ni hulka yake tu.anasema ndo alivyo
HahahahaaaMtakua mnaomba sana hela
Unawakazia sana mkuu, legeza uwasalimie hata mara moja mojaHuyo shemeji yako inawezekana ni Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
Binti yao ananiambia wako salama, sema itabidi nifuate ushauri wako mkuu, weekend hii nitafanya kweli 😂😂😂Unawakazia sana mkuu, legeza uwasalimie hata mara moja moja
na utaongea nin na wakwe. kuwe na ishu nzito ndio utaskikika.sio ipite siku mbil simu simu mnaongea nin sasa? wazee wengine kwanza hawamaind ishu za kukaa deile unawachek.ukute mzee bandidu yan unajifanya kunsalimia kwamba ndio ajue unalala na mwanae . wewe broza achana na ishu ya kutaka kumzoea shemej yako labda kaukuona umemaliza form four huna ishu au dogolas sasa mtaongea nae nini?Hivi unawapigia pigia ukweni ili iweje kama sio kutaka kupigwa vizinga
Mimi wakwe siwapigiagi tena sio kukwepa vizinga ila najikuta sina story za kupiga nao
tena wrwe wa ajabuhuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Mimi shemej alimuoa dada angu mwaka 2010 tumekuja kuonana mwaka 2023 na ndio akachukua namba zangu huwa namchekigi WhatsApp hasa kukiwa na inshu ya kifamiliatena wrwe wa ajabu
sisi kuna mshakaj kaoa dada yetu binafs mim sijawah kumuona wala hatjawah hata kuonana mpaka leo
Ana miaka mingapi bintio mkuu nijiweke karibu😀Inaonekana mna umasikini wa kupindukia
Mahari haiwezi fanya ukawa tajiri ndugu yangu
utasabisha dada yako aishi kwa manyanyaso
mimi binti yangu akiolewa sitadai mahari ila mambo ya kimila
nitatimiza wazee wangu blanket na zawadi zawadi
mimi siuzi mtoto wangu
Amezaliwa mwaka 1997 uko tayariAna miaka mingapi bintio mkuu nijiweke karibu😀
Dubwasha analo nije pm chap tuzungumze mkweAmezaliwa mwaka 1997 uko tayari
Mkuu kichwani upo sawa kweli????huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no