Ww hoja yako ni unawatetea mashoga kwa sababu ushoga wao hauna athari yeyote kwa mtu mwingine sasa ww unatharika nini na hao mabinti kuiba mabwana za watu?Hao ni watoto, tena kungetakiwa kuwe na sheria kabisa ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii kama vile Uingereza, Australia, China, Brazil, Ugiriki na nchi nyingine.
Aiseee hii nchi hapana kwakweli kwamba dini imeshindwa kuwasaidia?Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
Kwani wao kuolewa Kuna wazuia kuwa viongozi wa chama na serikali?
Ya kwamba ukitaka kuwa kiongozi wa chama au serikali ni usiolewe ndo kigezo?
Hivi mabinti na watoto wa kiume wa Arusha uhuni wa kijinga wanaoufanya dini nayo imeshindwa kuwasaidia?Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
We tahira wa kiimaniSasa nani amekwambia talaka ni kosa kutoa?
tumia akili yako vizuri.
Talaka ipo hata kwenye ukristo sema haumjui dini yenu
Elimika.punguza chukiUnazungumzia uislamu wa kutoa talaka ya maneno kwa ndoa ya miaka 15.!?
Uislamu ni utahila wenye heshima
Comprehension!Kwani wao kuolewa Kuna wazuia kuwa viongozi wa chama na serikali?
Ya kwamba ukitaka kuwa kiongozi wa chama au serikali ni usiolewe ndo kigezo?
Umefika Arusha?Uko sahihi kabisa. Uko ni kawaida kuona binti ana miaka 19 ila ashaachika kwenye ndoa 3. Sherehe zao uchwara za vigodoro sijui vijamvi zinawaharibia watoto maana hazina maadili.
Kabisa mkuu!kiufupi
Mkuu
Nimezunguka mikoa yote Tanzania tabia za wabantu zinafanana kwa kiasi kikubwa.
Nilichotambua kuna watu hawana furaha ya maisha kwaio JF ndio pakutua mzigo.
Mimi nilikua natumia fake ID but nikajitathmini kua sina ugomvi na mtu kwaio natumia jina langu halisi kwa sasa.
Pia kama mtu anajiamni akaposti kusema kabila au dini au atumie ID kama paschal mayala na wengineo.
Mimi si bora kuliko wanadamu wenzangu.
Aliyekuambia mimi mgalatia naniElimika.punguza chuki
Wapo au hawapo haifanyi kuwa sawa kuhubiri hili.Kwani hakuna vijana waliooa wakiwa na miaka 18 - 20?
Haujui impact ya advocacy?Kwa nini useme tunawasukuma wakati wao wametaka kwa hiyari yao?
Hakuna force marriage hapo. Ni wao wenyewe.
Hatulazimishi, Tuna encourage tena for better.. Unahisi tuna nia mbaya kuliko nyie?Force marriage ni ile binti anataka kuolewa sasa hivi anamiaka 19 ninyi mnamlazimisha aolewe akimaliza chuo. Ujinga mtupu. Dhulma
Wapi nimeuliza hayo unayodai wewe?Unauliza mkund.. wa ng'ombe huku umeshikilia mkia?
Sijafika mkuu. Ila Arusha naona vijana(kike/kiume) wanaharibiwa na usela/uhuni uchwara.Umefika Arusha?
Wapo au hawapo haifanyi kuwa sawa kuhubiri hili.
Haujui impact ya advocacy?
Hatulazimishi, Tuna encourage tena for better.. Unahisi tuna nia mbaya kuliko nyie?
Mkuu,Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
Ambapo wazazi wako,wewe na mumeo mnavyoongozwa na kobazi SamiaWatoto wa uswahilini hasa ukobazini niwahuni balaaa hao wakihitimunsana ni form two form 4. Ndio miwsho wakitoka hapo ni kudanga tu
Hiyo inaitwa non-verbalWapi nimeuliza hayo unayodai wewe?
Mm sina mzozo wowote kuhusu mtoto ila mawazo yangu yanawakilisha kinacho wakuta wanaume wengiPole sana mkuu vumilia afikishe miaka 7-9 mchukue mwanao haujachelewa sana!
Mpaka miaka 30 nilikuwa bado mdogo vingi tu nilikuwa sivielewi, Leave alone 18 nilipokuwa bado nacheza madange, Unataka kusemaje?Kwa uelewa wako binti wa miaka 18 ni mdogo?
Au wewe ulivyokuwa na miaka 18 ulikuwa mdogo?
Which is not bad.Ukizoea kuambiwa chakufanya au mpaka usome sehemu walichofikiria wengine siku zote utakuwa mdogo tuu haijalishi utafikisha miaka mingapi.
Tufanye vya faida, tuwape nchi waongoze.Binti wa miaka 17-20 ni mwanamke anayetosha kabisa kuwa na familia na kuongoza nchi ikaenda vizuri tuu.