Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Kuwa wapenzi ndo nini? ? ?mtu umemtongoza,amekubali na kukwambia kwanzia sasa sisi ni wapenzi hiyo inaweza kuwa before hata hamjafanya sex. Mbona unajitoa ufahamu sana?
Yani eti mwanaume kakutamkia tu nikuoe unakimbiza kwato na humfahamu vzr! Wengi wanamaanisha financial situation lakini nakwambia, point kubwa hapa ni kuanguka na yoyote ili watu waone umeolewa watunze file lako kichwani na hakuna msaada wanakupa ni ujinga!!Hivi mnaposema never settle for less huwa mnamaanisha nini?
Jibu ni moja wakakojoe walaleBora umenisaidia kuwatag, niitie na Lamomy , na binti kiziwi
ngoja aje tuko LIVEEESimuogopi! Kiufupi tunafahamiana! yeye aje na feminism theory zake tu ⚔️💃🏽
Mambo ya ajabu kabisa 🤦🏼♀️Hivi hii ya kutongoza asubuhi jioni unaomba mzigo sio ajabu? Kitu ilomfanya Yakobo achunge kondoo for 14 yrs wee unaitaka within 24hrs vichekesho lols 😆
Kwamba huwezi kujitetea mpaka aje yeye?ngoja aje tuko LIVEEE
Naona unarusha ndoano kaka mvuvi 😂😂Kama 😎ni ee wanawake ni wazuri sana na watamu 😎😎😎...enyewe hapa ningepata karembo fulani hivi Petite na ngozi ya Melanin walahi lazima nikatoe sadaka ya kuteketezwa kwenye mizimu ya Kwetu ya kimakonde😄😄😄
You deserve something betterWanalalamika wametutongoza sana tunakataa,
Nimeongea hivyo kwa sababu wanawake wengi vigezo vyao huwa vinabase kwenye physical appearance ya mwanaume ndo mengine yanafuata baadaeHuyo dada haongelei physical appearence bro kuna wanaume wasingeoa ingekuwa hivi! Mrefu mweusi then what?? Kuna wanaume hawana huruma na mwanamke besides love, unatakiwa kujua unaishi na mtu wa aina gani! Upendo hauta last longer, miaka miwili mingi kuanza kugundua unaoshi na mnyama gani! huko ndoani ni pa moto sana! Unaishi na mtu ukimkosea kidogo tu kama umeua kwao! Akhaa😆🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Tuvulana ambato bado hatujajipata, kuna mambo uchumi ukikaa sawa yanajiresolve yenyewe na huwezi kuja kujilalamisha humu!!Na bado hatuelewi wanataka nini! Huenda tunabishana na tuvulana eti🤔
Tujipe matumaini kwenye nini?wanawake ndivyo walivyo mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na malengo anaonekana hafai,alafu yule sharo ananukia vizuri ndiye anaonekana anafaa,matokeo yake singo maza na 3rd floor tayari! Binti wa zamani huu uzi umeuleta mjipe matumaini ila ukweli unajulikana
Nyie jinsia ya Adam hampigi matukio?Watu wanapigwa Sana matukio huko mitaani na hii jinsia ya Eva sio poa yaani
But what bro KERATO fungukaa!🫴🏾😃You deserve something better
But...
Tunapiga Ile yenu ni pro max😅Nyie jinsia ya Adam hampigi matukio?
Shida mnataka kushindana na mlipotokea, mtanyooshwa tu 😅Tunapiga Ile yenu ni pro max😅
Kuolewa handicapped sio issue! Issue ni mambo unayokutana nayo huko ndani, kijana ataenda kutesa na wazima physically, wewe special group unabaki kufua boxer zenye alama na kulea watoto! Ila kijana akitaka kwenda vacay anatafuta the so called women who cannever settle with him, utasikia tu niko dubai kikazi.. wanaume ni wabinafsi sana! Kama mnavyojichagua kwanza na sisi tumeamua iwe hivi!Nimeongea hivyo kwa sababu wanawake wengi vigezo vyao huwa vinabase kwenye physical appearance ya mwanaume ndo mengine yanafuata baadae
Ni rahisi Sana mwanaume kuoa mwanamke ambaye ni physically handicapped bt vice versa is not true
Kwanza hutumii nguvu nyingi sana, mate mengi sana😅Tuvulana ambato bado hatujajipata, kuna mambo uchumi ukikaa sawa yanajiresolve yenyewe na huwezi kuja kujilalamisha humu!!
Are you talking from experience or you're just basing on hearsays?Kuolewa handicapped sio issue! Issue ni mambo unayokutana nayo huko ndani, kijana ataenda kutesa na wazima physically, wewe special group unabaki kufua boxer zenye alama na kulea watoto! Ila kijana akitaka kwenda vacay anatafuta the so called women who cannever settle with him, utasikia tu niko dubai kikazi.. wanaume ni wabinafsi sana! Kama mnavyojichagua kwanza na sisi tumeamua iwe hivi!
Well said baba!Seran
mm jina la ubatizo naitwa yakobo
miaka ya nyuma nilisoma kitu fulan kwa miaka miwili
lakn nilijikita kutafuta THEOLOGICAL RESEARC ABOUT THESE NAMES JACOB/JAMES
1. sisi ni wadadisi sana ijapo usoni ni wapole
2. huwa ni wapiganaji sana na wana nguvu sana
3. huwa hatutaki kudharauliwa na wanawake ijapo hatupendi kuwadhalilisha wanawake.
sababu za kuchunga 14 good years
1. hakuelewa tamaduni za mjomba wake au kabila lile kuwa unatakiwa uoe binti mkubwa aliyepo nyumbani
2. hakutaka kupewa bure kama wafanyavyo vijana wa siku hz
3. hakutaka kuwa mdebwedo
4. mwanamke aliyetolewa zawadi/mahari huwa kuna heshima ya ndoa siyo kama hawa wa kuvutana gheto/apartments
5. mwanamke uliyempata kwa heshima na kumhenyea huwa ni rahisi sana kusuluhishana pindi kunapotokea tofauti zenu.
6. heshima ya yakobo ilitunzwa kwa sababu wake zake walijua umhimu wao na hawakuwa vigagura kama wa sasa.