Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Lack of wisdom
 
Sababu za wanaume kuwa wakali
1. Mabadiliko ya hali ya uchumi, wanawake wamekuwa na mahitaji mengi ukilinganisha na mapato ya maboy friend wao (mme na mke mnaojitambua na mnaish pamoja hamuwezi rushiana maneno)
-namanisha hakuna breakeven point(rev=exp), tupo kwenye budget deficit

2. Wasichana na wavulana kuingilia mahusiana badala ya mahusiano kubakia kuwa ya wanawake na wanaume (hamtanielewa)

3. Mahusiano kugeuka kuwa chanzo cha mapato a.k.a kukamuana
-lazima mmojawapo akose uvumilivu.

4. Visichana na vivulana vimegeuza mahusiano kuwa kazi nyepesi sana

5. Wanawake na wasichana mnajirahisisha mno kwa wanaume
-bahati mbaya bikra zenu na matumbo yenu yanabeba mimba za watu wasio sahihi, hali inayopelekea nyie kudharauliwa.

6. Hata wale wenye watoto nje ya ndoa kwa sababu za msingi kama kubakwa au kuachwa, mnajikuta hamtambui nafasi yenu ya heshima

7. Wanawake wenye watoto na wenye umri mkubwa huwa mnakimbilia wavulana na si wanaume
Hampaswi kulaumu maana mmeamua hivo.
 
Nakubaliana na wewe kwenye point zote 💯💯 umesema vyema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…