Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Huwa nawaza sana, mnawezaje kula hadi wale wanaojiuza kwa kigezo cha ny€gΒ£, nachoka!
Men are built differently when it comes about sexual desires... Ujue kiatu kile cha akina dada chenye visigino virefu vile vya Ko ko ko vinatosha tu ku arouse men sexual desires. Hii hali huitwa fetishism
 
Punguzeni mizinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila Seran na Binti wa zamani ninyi ni wanawake ambao angalau mnajielewa kwa kiwango fulani and that's why you're always on the forefront whenever it comes to fighting for your rights.

Kongole kwenu jamani
Thanks kiongozi, nafikiri jukwaa linahitaji pia perspective za wanawake, siyo kila siku tunasikia kutoka upande wenu tu πŸ˜‚
 
IMO - Women are not picky enough, kuna wenzetu ambao wanajirahisisha, wanajivua thamani na kukurupuka.

Pick the father of your children wisely, weka vigezo, usithubutu kutengeneza kizazi ambacho watoto watateseka na wewe utaishi maisha ya majuto!
 
Dunia imekuwa hivi hivi kwa mwanamke tangu kale, Kwasasa platform za kuwasema na kuwasulubu wanawake ndio zimebadilika.
πŸ’― fact!
Tofauti ni kuwa na sisi kwa sasa tuna sauti and we can talk back, We are not here to endure. Hii hali inamfanya mwanaume azidi kuona anapoteza power.
True, na ni wanaume dhaifu tu ndiyo wanakua threatened na wanawake.

Mwanaume ambaye yuko secure kwenye masculinity yake hategemei kuonyesha uanaume wake kwa kumshusha thamani mwanamke bali anamuona binti mwenye akili au kipato kama mshirika ambaye watakua na kujijenga pamoja.

Na kwenye mahusiano, submission kwetu wanawake ni automatic kwa wanaume wanaostahili na kamwe huwa hawaiombi wala kuilazimisha.
 
Men are built differently when it comes about sexual desires... Ujue kiatu kile cha akina dada chenye visigino virefu vile vya Ko ko ko vinatosha tu ku arouse men sexual desires. Hii hali huitwa fetishism
Hyo haina ubishi
Mfano mm nikiona kitovu hususan kilichozama ndani au chini ya paja(sehemu ya nyuma ya goti) hapo mm kwisha kabsa
 
Hyo haina ubishi
Mfano mm nikiona kitovu hususan kilichozama ndani au chini ya paja(sehemu ya nyuma ya goti) hapo mm kwisha kabsa
Enyewe mimi ni kucha za mwanamke tena zile natural halafu awe amepaka ile rangi wanaita hina sijui.. mimi kwishaa habari naanguka kama mbuzi mwenye kimeta🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…