Alikuwa na papara sana, alitumia muda Mwingi kufuta legacy ya mwendazake kuliko kufanya majukumu aliyopaswa kufanya akiwa kama waziriJamaa ilikua safari hii ndo watusue ,,,,na wwmeshindwa kwahio imeshatoka hio.....2030 kuna watu ambao tayari watakua kwenye mfumo watakua wamejijenga........yeye asipoingia kwenye mfumo lazima apotee....nafasi yake ilikua sasa kipindi alichokua kwenye mfumo ila bahati kaichezea alikua na papara sana hajui kula na kipofu
Kama Sa100 kaweza wengine January hawezi kushidwa hata kingwendu anawezaKwamba January Makamba siku Moja aje awe raisi wa nchi hii!...!?
Mbona nyie watu hamlitakii mema kabisa hili taifa?
Na walianza kuonyesha mapema kua hata mkuu wao wamemuweka mfukoni,,,...bimkubwa akaamua kuwapa za mbavu.......ule upande wao kwa sasa wanasaka pa kukusanyia nguvu maana nguvu kubwa na resources zao walizielekeza kwa huyo jamaa na mambo yamekuja kuharibika mwishoniAlikuwa na papara sana, alitumia muda Mwingi kufuta legacy ya mwendazake kuliko kufanya majukumu aliyopaswa kufanya akiwa kama waziri
Amkeni acha ndotoWewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Ndo ameshashindwaKama Sa100 kaweza wengine January hawezi kushidwa hata kingwendu anaweza
Kweli hatuna watu jana walikua 🧟 🧟♂️ 🧟♀️ hawaelewi kua ndo teyari mtu kapita na vimbwanga vyote vya watu kupotezwa na kufa.Kama watanzania WALIO wengi ni wajinga, kwann asiwe? Ni nani mwenye ujasili wa kusema hadharani, ukimtoa lisu na walioba wa kukemea uchafu
Kuna mtu Mmoja aliwahi kusema kwamba watumishi wengi WA serikali WA Tanzania akiwemo Samia mwenyewe ufanisi wao ni duni sana na hawawezi kuongoza nchi nyingine tofauti na TanzaniaAsilimia kubwa viongozi wa Tanzania wamepewa na baba zao na hawana sifa kabisa
Mawazo kama haya ndo yalimponza mwezi wa kwanza,,,,,,hawa hawajashtuka kwamba zama zimebadilika,,, bado wapo na mawazo na akili za enzi zile za unajua mimi naniAmkeni acha ndoto
Tena kama Hilo la kumuweka mfukoni ndio walikuwa wanalifanya wazi wazi bila kificho, wakiuaminisha uma kwamba nchi Iko mikononi mwao...!!Na walianza kuonyesha mapema kua hata mkuu wao wamemuweka mfukoni,,,...bimkubwa akaamua kuwapa za mbavu.......ule upande wao kwa sasa wanasaka pa kukusanyia nguvu maana nguvu kubwa na resources zao walizielekeza kwa huyo jamaa na mambo yamekuja kuharibika mwishoni
Wanawaza pa kujipachika ,,,,Nchimbi angekua kapata nafasi nzuri wangepeleka nguvu waziwazi huko shida jamaa mwisho wa siku atakua makamu na anaweza akaachia nafasi kwenye chama kwahio workdone itabaki 0..................ule ukanda kwa kuletewa tu Wasira kuna dalili za neema, shida na jamaa wa pande za huko haziivi chungu kimoja na kwenye idadi ya kura na wabunge wale jamaa wamekaa angle nzuriTena kama Hilo la kumuweka mfukoni ndio walikuwa wanalifanya wazi wazi bila kificho, wakiuaminisha uma kwamba nchi Iko mikononi mwao...!!
Sasa hivi nahisi watakuwa wanajiuliza maswali mengi sana ni wapi waanzie
2030 ni zamu ya Wakristo au na hiyo tamaduni kushney ??!Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Mnyarwanda huyo2030 ni zamu ya Bashungwa.
Halafu kuna wengine wamemshauri akabadili dini awe mkristu kwa vile mama yake ni Mkristu, ili baada ya Samia Muislamu aje yeye na kofia ya Ukristu.Kwamba January Makamba siku Moja aje awe raisi wa nchi hii!...!?
Mbona nyie watu hamlitakii mema kabisa hili taifa?
Na kawekwa hapo ili hilo la kutokea lisitokee......wanasema mchawi mpe mwanao amleeIngizo la Nchimbi tayari ni pigo kwa watu come 2030
Ikitokea lolote kwa Mama, then Nchimbi atakaa pale juu. Then 2030 inakuwa formality tu
Mungu atatufanyia wepesi2030/2040 Mama tunaye