Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

Yaani tumsikilize huyo huyo tapeli wakala anayekata viuno tu bila facts??

Hakuna mwenye muda wa kuskiliza hizo porpjo za kijana anafamilia inamtegemea
Yaani tukusikilize wewe uliyeko Mpitimbi huko ndani ndani, tuache kumsikiliza muhusika mwenyewe? Unajipa umuhimu ambao hauna.
 
Porojo nyingi, yanga ndio anaamua kumuuza au kutokumuuza. Kama anataka maslah ya mchezaji bila kuangalia klabu avunje yeye mkata ampeleke!. Acheni polojo na utchoko.
 
Yaani tukusikilize wewe uliyeko Mpitimbi huko ndani ndani, tuache kumsikiliza muhusika mwenyewe? Unajipa umuhimu ambao hauna.
Ana uhusika gani mhimu?, yaani yeye ndio awapangie yanga pesa ya kumuuza mchezaji aliye mali yao?. Bata kabisa wewe.
 
Wakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.

Yanga wanataka dola milioni 1 sawa na tsh Bilioni 2.6 ili kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al Masry.

"Yanga wanaroho mbaya miaka miwili iliyopita walikuwa wanamlipa milioni 2 kwa mwezi, sasa wanamlipa milioni 15, wamuache aende anategemewa na familia yake" Amesema Jasmine Razaq wakala wa Clement Mzize.

#halisimax #halisinewsflash
 

Atulie acheze mpira asiwe na tamaa. Milion 15 kwa mwezi ni nyingi sana.
 
Kwani yeye Mzize anasarmaje,?
 
Achana na huyo dalali atakusumbua sana, anajifanya anamjua sana Mzize kuliko Mshindo Msola alitemuokota iringa huko wakati anacheza ndondo tu na ufundi ujenzi
 
Laana gani? Mimi nina mchezaji wangu halafu wewe unanipangia bei ebo!
 
Huyo mwanamke akaimbe mipasho,biashara ni kukubaliana bei siyo mambo ya roho mbaya.Halafu nyie si mnao wachesaji? Chukua fursa hiyo uza wa kwako.Yanga wanataka thamani halisi ya mchezaii
 
huo ni uongo bro,yanga wamepata dili la qatar na wamelikubali hilo dili na wakatoa ruhusa waongee na mchezaji,huyo mama kwa njama zake kakataa hilo dili kwasababu hapati 10%Mzize kapewa mshahara wa 70m,huyo mama analazimisha apewe milioni 150 kwa mwezi.Asilete uongo huyo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…