NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Angekuwa Simba biashara ingeshafanyika siku nyingi sana!Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele Kwa dollar 500k, kwanini wapate kigugumizi Kwa Mzizi
Amesema Mzize alikuwa akilipwa million 2 ila Kwa mkataba mpya analipwa milion 15 na kuwa Yanga wanamnyonya kijana
Amesema Yanga haina mchango wowote Kwa Mzize maana walikuwa washamfukuza under 20 na yeye Jasmine alishawishiwa na wazazi wake pamoja na coach Zahera kumsimamia
"Niseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji, Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000 niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi, walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi, naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira, wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duni"
"Nimemchukua Clement Mzize wakati hana timu, Yanga walishamruhusu aondoke pale Under 20 ila Baba yake Mlezi pamoja na Kocha Zahera walikuja kuniomba sana nimchukue kumsimamia, hawajui namna gani Kijana ameteseka kufika alipo hapo, anategemewa na familia na yeye ndio kila kitu kwao, unadhani Yanga wamewekeza kiasi gani mpaka Mzize kufika hapo? Nafasi ya kuvunja Mkataba ipo ila kwasasa sitaki kumsumbua Kijana, acha alitumikie Taifa kwanza"
View attachment 3436631
Sasa wewe ni Mzize au wakala wake??Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele Kwa dollar 500k, kwanini wapate kigugumizi Kwa Mzizi
Amesema Mzize alikuwa akilipwa million 2 ila Kwa mkataba mpya analipwa milion 15 na kuwa Yanga wanamnyonya kijana
Amesema Yanga haina mchango wowote Kwa Mzize maana walikuwa washamfukuza under 20 na yeye Jasmine alishawishiwa na wazazi wake pamoja na coach Zahera kumsimamia
"Niseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji, Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000 niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi, walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi, naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira, wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duni"
"Nimemchukua Clement Mzize wakati hana timu, Yanga walishamruhusu aondoke pale Under 20 ila Baba yake Mlezi pamoja na Kocha Zahera walikuja kuniomba sana nimchukue kumsimamia, hawajui namna gani Kijana ameteseka kufika alipo hapo, anategemewa na familia na yeye ndio kila kitu kwao, unadhani Yanga wamewekeza kiasi gani mpaka Mzize kufika hapo? Nafasi ya kuvunja Mkataba ipo ila kwasasa sitaki kumsumbua Kijana, acha alitumikie Taifa kwanza"
View attachment 3436631
hata yanga tuliuza msuva,fei toto,mayeleAngekuwa Simba biashara ingeshafanyika siku nyingi sana!
Ref:
Okwi,Samata,Nickson,Boban.......... unaweza ukaongezea wengine
Fei kwa mbinde,Mayele aligoma kuendelea na alihitaji mshahara mkubwahata yanga tuliuza msuva,fei toto,mayele
Una matatizo ya akili si bure.FROGS FC WANA roho mbaya sana MAMMBWA Hawa...Hawa jamaa kama ni kuwawekea sumu ningewawekea wafe wote uongozi wote na wote wanaosapoti kijana huyu kunyanyaswa hivi
Unapayuka sana tatizo lako.Sasa Yanga wangekuwa na haraka hilo deal la USD 1m wangelipata.Hiyo pesa inayowekwa kwenye clause ya kuuzwa siyo msahafu, inabadilika katika mazungumzo. Timu ikitokea kumtaka mchezaji ndiyo maana wanakaa mezani. Kawaida karibu mara zote huwa haifiki hiyo bei iliyowekwa katika mkataba. Si kila siku hizi timu zinasajili wachezaji na kuweka hiko kipengele cha dola milioni 1, niambie nani wamewahi kumuuza kwa bilioni 2.
Ni sawa na watu wanavyosajili makampuni BRELA, kwenye kiwango cha mtaji ni kama wanafanya copy and paste ila wengi wanakuwa hawana huo mtaji.
Mikataba ya wachezaji ipo hivyo hivyo. Wanaweka tu viwango vya kuvunja mkataba au kumuuza mchezaji bila tathmini ya kweli ya thamani ya mkataba inayoendana na malipo anayopewa mchezaji. Ni mazoea tu na wachezaji kutokuwa na nguvu mbele ya hivi vilabu kwa sababu ya njaa.
Niliposema hayo ya Aziz Ki nilikuwa namaanisha, hawa mashabiki maandazi huwa hata hawafanyi follow up kujua kile walichokuwa wanakipigania ndiyo kilichofanywa na viongozi wao ama la. Ni kama wanaona wanatimiza wajibu wao kutetea chochote ambacho kinaonekana ndiyo msimamo wa klabu. Ndiyo maana leo wanatetea hiki kisa unaonekana ni mtazamo wa viongozi wao, kesho viongozi wao wakibadilika nao wanabadilika. Bendera fuata upepo.
Mzize ni mchezaji wa nafasi 6 anakupa 1 au 2 na nyingi ya nafasi anazopata, goli analiona liko angani. Mnataka kuuzia waarabu mbuzi kwenye gunia. Hapo bado suala la umri linabaki siri yetu kama wazalendo.
Jasmini ni wakala amesajiliwa kongo. Kaa kimya hujui mambo ya uwakalaSasa huyo Jasmine wakala? Wamevamia fani, Tanzania nzima wakala aliye fuzu mtihani wa FIFA ni mmoja tu. Huyo mganga njaa kama walivyo wengine, biashara ya mpira haijui.
Yaleyale yaani unaprove hujui process za kuwa wakala. Wakala FIFA wana mitihani yao ukipass ndio unakuwa wakala,Dauda na Salama Jabir walijaribu wakachemka. Tz nzima wakala mwenye sifa baada ya kufaulu mtihani wa FIFA ni mmoja tu.Jasmini ni wakala amesajiliwa kongo. Kaa kimya hujui mambo ya uwakala
Mpuuzi mmoja wewe. Jasmine hakuapply uwakala hapa Tanzania. Alifanya hizo process akiwa Ufaransa ila kwa kuwa ameolewa na mume mkongo basi na yeye ameamua kubase kongo kufanya shughuli zake. Kuwa wakala wa mchezaji hakuna mipaka ndio mana anafanya kazi zake hata kwa wachezaji wa kibongo. Nilishakwaambia kaa kimya hujui lolote kuhusu mawakala wa mpiraYaleyale yaani unaprove hujui process za kuwa wakala. Wakala FIFA wana mitihani yao ukipass ndio unakuwa wakala,Dauda na Salama Jabir walijaribu wakachemka. Tz nzima wakala mwenye sifa baada ya kufaulu mtihani wa FIFA ni mmoja tu.
Wewe ndio kima Jasmine sio Certified wakala wa FIFA. Kama hujua mawakala wote wanafanya mtihani mmoja ulio chini ya FIFA haijalishi unatokea nchi gani.Mpuuzi mmoja wewe. Jasmine hakuapply uwakala hapa Tanzania. Alifanya hizo process akiwa Ufaransa ila kwa kuwa ameolewa na mume mkongo basi na yeye ameamua kubase kongo kufanya shughuli zake. Kuwa wakala wa mchezaji hakuna mipaka ndio mana anafanya kazi zake hata kwa wachezaji wa kibongo. Nilishakwaambia kaa kimya hujui lolote kuhusu mawakala wa mpira
Huwezi kuiweka timu masharti wakati ambao hakuna timu inakutaka.Wachezaji wanapaswa kuwa makini sana na mikataba. Wahakikishe mkataba una kifungu cha kununua mkataba wake kwa fedha inayotekelezeka maana Club zikihitaji kuachana na mchezaji zinaachana naye bila tatizo ila mchezaji akitaka kuiacha Club mkataba unambana. Hapo ukute mkataba wa mzize unasema akitaka kuondoka bila kuuzwa alipe dola m2 na mwenyewe alisaini tu afu sa hii management inalia lia.
Ati nini?Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele Kwa dollar 500k, kwanini wapate kigugumizi Kwa Mzizi
Amesema Mzize alikuwa akilipwa million 2 ila Kwa mkataba mpya analipwa milion 15 na kuwa Yanga wanamnyonya kijana
Amesema Yanga haina mchango wowote Kwa Mzize maana walikuwa washamfukuza under 20 na yeye Jasmine alishawishiwa na wazazi wake pamoja na coach Zahera kumsimamia
"Niseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji, Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000 niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi, walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi, naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira, wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duni"
"Nimemchukua Clement Mzize wakati hana timu, Yanga walishamruhusu aondoke pale Under 20 ila Baba yake Mlezi pamoja na Kocha Zahera walikuja kuniomba sana nimchukue kumsimamia, hawajui namna gani Kijana ameteseka kufika alipo hapo, anategemewa na familia na yeye ndio kila kitu kwao, unadhani Yanga wamewekeza kiasi gani mpaka Mzize kufika hapo? Nafasi ya kuvunja Mkataba ipo ila kwasasa sitaki kumsumbua Kijana, acha alitumikie Taifa kwanza"
View attachment 3436631
Jasmini ni wakala amesajiliwa kongo. Kaa kimya hujui mambo ya uwakala
Wakati mwingine muache mjinga na ujinga wake uendelee kumtesaMpuuzi mmoja wewe. Jasmine hakuapply uwakala hapa Tanzania. Alifanya hizo process akiwa Ufaransa ila kwa kuwa ameolewa na mume mkongo basi na yeye ameamua kubase kongo kufanya shughuli zake. Kuwa wakala wa mchezaji hakuna mipaka ndio mana anafanya kazi zake hata kwa wachezaji wa kibongo. Nilishakwaambia kaa kimya hujui lolote kuhusu mawakala wa mpira
Kuongea uongo ndo uwakilishi gani huoMnavyosema ni dalali utadhani kuwa dalali ni tusi. Huyo ni mwakilishi halali wa Mzize na akiongea katika vyombo vya habari anaongea kama mwakilishi wake rasmi.
Leseni ya uwakala haina mipaka kwani Iinatolwa na FIFAMpuuzi mmoja wewe. Jasmine hakuapply uwakala hapa Tanzania. Alifanya hizo process akiwa Ufaransa ila kwa kuwa ameolewa na mume mkongo basi na yeye ameamua kubase kongo kufanya shughuli zake. Kuwa wakala wa mchezaji hakuna mipaka ndio mana anafanya kazi zake hata kwa wachezaji wa kibongo. Nilishakwaambia kaa kimya hujui lolote kuhusu mawakala wa mpira