Vipi kipesa mkuu?Practically, ukiliwaza jimbo kuu katoliki la Dar lenye wabunge kadhaa, lina askofu mmoja... AU jimbo kuu katoliki la Songea lenye majimbo kadhaa ya kisiasa, lina askofu mmoja, hivyo kieneo, kwenda kwenye ubunge ukitokea kwenye uaskofu ni kupunguza ukubwa wa eneo unalolitawala
Duuuu kumbe jamaa muongo eeh?Hiyo kawaida tu hakuna binadamu asie sema uongo
Kwani nani hayajawahi walau kusema uongo? Nitajie walau mmoja,ikiwa watu walitudangaya kuhusu lowasa na sumaye na kinana na bado una waamini kipi Cha ajabu kwa gwajima? Itakuwa Ni kichekesho Cha Karne hiiDuuuu kumbe jamaa muongo eeh?
Mzee mbona kama umekurupuka vile, mimi namuamini nani?Kwani nani hayajawahi walau kusema uongo? Nitajie walau mmoja,ikiwa watu walitudangaya kuhusu lowasa na sumaye na kinana na bado una waamini kipi Cha ajabu kwa gwajima? Itakuwa Ni kichekesho Cha Karne hii
Padri SupaHata mapadre kwa sasa hawawezi zamani Dodoma alikuwepo mbunge Nakumbuka pdr Disuza
Anapewa na taasisi...Papa ni taasisi..anafuata utaratibu wa kanisa...ni kiongozi mkuu wa kanisa...kwa hiyo uaskofu Mtu anapewa na kanisa...Papa muwakilishi tu...mbona simple tuPapa ni binadamu kama binadamu mwingine.mo nlidhani uaskofu wanazaliwa nao. Kwanza anzia nini maana ya askofu. Kupewa na papa,pweza au nguru huo ni utaratibu ambao watu wanaweza jiwekea
Anapewa na taasisi...Papa ni taasisi..anafuata utaratibu wa kanisa...ni kiongozi mkuu wa kanisa...kwa hiyo uaskofu Mtu anapewa na kanisa...Papa muwakilishi tu...mbona simple tu
kanywe mataputapu yako ukalale kenge wa mweusiNlikuuliza askofu ni nani? Hata angepewa na Ngisi au Pweza si issue. askofu ni nani?
kanywe mataputapu yako ukalale kenge wa mweusi
Uaskofu ni wadhifa wa kiroho.Nlikuuliza askofu ni nani? Hata angepewa na Ngisi au Pweza si issue. askofu ni nani?
Asante kwa mchanganuo mzuri.Uko sahihi. Lakini ukumbuke kuwa muumini wa dini anafungwa pia na sheria za nchi (au utaratibu wa utawala wa nchi na watu wake - ambao kwangu ndiyo siasa au tuseme ambao ni sehemu ya siasa). Kuna mwanasheria mmoja na mwalimu wa mambo ya jamii Paulo Freire anatoa mfano mzuri wa kuishi imani na siasa (in a cross-fertised way) kwa kulinganisha pande mbili za ngazi (ladder) - mhimili wa kushoto na kulia - moja kama imani na mwingine kama siasa). Kwamba ukitaka kupanda ngazi vizuri lazima ushike mihimili hii miwili kwa pamoja - i.e ukitaka uwe 'well-integrated' ni lazima imani yako ishirikiane na siasa kukufanya wewe uwe mtu mwema. Yaani, ni kwamba imani yako inachangamana na siasa na siasa inachangamana na imani (in a cross-fertised way). Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba mtu wa namna hiyo anaishi imani yake vizuri na wakati huohuo anaishi siasa yake vizuri tofauti na wale wakiwa nje ya nyumba ya ibada wanavua koti la imani na kuvaa koti la siasa na kinyume chake.
Watu wa namna hii kwa upande wangu ni 'opportunists' na katika maisha yao kuna 'dualism'. Mfano, kuna watu wanashiriki kuchoma moto vibaka mtaani kwa kuiba kuku, bata, TV set etc, lakini watu walewale wakiwa kwenye nyumba za ibada ndiyo wanaohubiri 'Mungu ni upendo na mwenye huruma na anataka na sisi tupendane na kusameheana'. Lakini 'well-integrated person' hawezi kumwua mtu mwenzake kwa kuiba bata, kuku, TV set etc kwa sababu anajua wazi kwamba licha ya kwamba Amri za Mungu zinakataza kuua, hata sheria za nchi pia zinakataza kujichukulia sheria mkononi maana kuna utaratibu wa kisheria wa kumpeleka mtuhumiwa wa wizi kwenye vyombo vya sheria na kuacha sheria ichukue mkondo wake. Hivyo, inategemea na uelewa wa mtu namna gani ana'practise' imani na siasa bila shida, ingawa wengine shida inaonekana waziwazi, mfano, mtumishi wa Mungu kuanza kuwanadi wagombea nafasi fulani za kisiasa madhahabuni au mwanasiasa kutumia madhahabu kunadi sera zake au kuwatumia waumini wake wamchague yeye kwa vile ni mwenzao na siyo kwa vile wanaona ana sifa za kuwa kiongozi bora etc.
Kwani yeye kasema ni Mungu? Watanzania wengi hawajui kujibu hoja kwa hoja bali kudandia tuKwani papa Ni MUNGU? Nae si binadamu tu
Hao maaskofu wakatoliki hawawez kugombea kwa sababu uaskofu wao hupewa na papa tofauti na hao wengine ambao hujitangaza kwa wafuasi wao kuwa ni maaskofu
"Hupewa na papa" hii sentesi ndio nikamuuliza kwani papa ni MUNGU? Kama sio MUNGU Basi Hakuna jipya,Sasa Nani Alie kurupuka Kama sio wewe kilaza[emoji23][emoji1787][emoji2960]Kwani yeye kasema ni Mungu? Watanzania wengi hawajui kujibu hoja kwa hoja bali kudandia tu
Tena wala sio waumini hujitangaza wenyewe kwanza ulisikia wapi wameapishwa kuwa AskofuHao maaskofu wakatoliki hawawez kugombea kwa sababu uaskofu wao hupewa na papa tofauti na hao wengine ambao hujitangaza kwa wafuasi wao kuwa ni maaskofu
Sawa, lakini sidhani kama ukitaja 'dini' una'exclude' imani. Kwa hiyo, unapoongelea 1) serikali 2) dini (kwa upande wangu ni pamoja na imani) na 3) siasa. Mfano, kiongozi wa kiroho/dini/imani akihubiri na kusema "viongozi au watumishi wa umma wajitahidi kutenda haki", kwangu yuko sahihi kwa sababu ujumbe wake unaenda kwa audience yake aliyoilenga au pia kwa watu wengine watakaoguswa na ujumbe huo. Watu wengine wakisikia hivyo huwa wanadai "kiongozi wa kiroho/dini/imani leo amechanganya dini na siasa." Lakini pia mwanasiasa akisema "viongozi wa dini/kiroho/imani mtuongoze vizuri maana kuna wakati mnatuchanganya kwa kuacha kuishi mliyoapa kuyatimiza" kwangu pia ni sahihi, lakini kuna baadhi ya watu watadai 'leo mwanasiasa kachanganya siasa na dini'. Ndiyo maana nikasema 'a well-integrated person/religious leader/politician' anaishi without dualism - yaani ni yuleyule akiwa upande wa siasa au dini na anajua lugha gani atumie ili ujumbe wake ufike kwa hadhira aliyokusudia na akifanya hivyo anakuwa ametimiza wajibu wake. Na hapa ndipo niliposema dini/imani na siasa vinamhusu mtu ambaye kwa upande mmoja anaweza kuwa anaamini katika imani fulani na kwa upande mwingine ni mwanasiasa.Asante kwa mchanganuo mzuri.
Lakini hoja ilikuwa ni 1. Serikali 2. Dini na 3. Siasa.
Naamini, kuiishi dini au siasa, ni jambo binafsi na la hiari japokuwa mazingira yanaweza kukulazimisha kuviishi vyote kwa sababu vyote vinakuzunguka.
Acha ubishi usio na tija.Huo utaratibu waliojiwekea ndiyo huo utaratibu thabiti unaotumika.Mbona wengine hawakujiwekea?Papa ni binadamu kama binadamu mwingine.mo nlidhani uaskofu wanazaliwa nao. Kwanza anzia nini maana ya askofu. Kupewa na papa,pweza au nguru huo ni utaratibu ambao watu wanaweza jiwekea