Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

350k ni ndogo sana kwa wiki tatu. Tena kwenye sherehe. Mtumie hela, asije akatokea mtu akamtia majaribuni kwa kumpa million sita
 
Hyo mbona ndogo harusi kwao ndy siku muhimu kwao yani na ww ukiwa Mzee wa kupendeza basi atataka akualike mana wanapenda show off Kwa wenzao sio Kwa wanaume.

Asilimia kubwa wanapenda kujibrand Kwa wenzao mana wenzao nao hawaji kitoto.

Toboka mke apendeze.
 
Ongeza hela arudi mana hyo ni ndogo akinyamaza kukuomba ushaumia we tuma tu mana ni mkeo.
 
Mke na watoto wawili wanatumiaje laki moja kwa wiki ugenini?
Mimi naona mpe 30000 kwa siku labda itasaidia.
 
Nilitegemea uumie kwa Mke kukaa wiki 3 harusini ila umeumia kwa laki 3

Pipa na Mfuniko mmekutana.
Mkuu anatakiwa abadili kichwa cha habari kiwe Mke kwenda harusi kukaa wiki 3, hii ni maajabu ya Mwaka, yani Mimi mke wangu akae wiki 3 kwenye harusi lazima patachimbika labda kama kaenda kumuuga Mzazi, bila hivyo atakuta Pisi kali ndani.
 
Ni kweli ni pesa ya kawaida atakua nyingine kuwasaidia wadogo zake au Mzazi ni jambo la kawaida, Huyu angetakiwa alalamike mke kwenda harusini na kukaa wiki 3 na siyo kulalamika pesa.
 
Sasa usimpe apewe na ma-x wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…