MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kwa hiyo umehama kutoka west africa mpaka Tanzania?Hata Wazanzibari wanataka kujitawala, mbona tunawabania?
Double standard?
Siyo kila RAIS wa Zamani anakuwa mshauri wa RAIS aliyopo madarakani, isipokuwa ni yule aliyefanya vizuri ktk kazi yake ya URAISI na pia mwenye ushawishi mkubwa.Kila Rais wa zamani ni mshauri wa Rais aliyopo madarakani.
Sielewi kwanini iwe hoja ni hiyo.
Usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu ajabuWakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Ukiwapanga marais wanne bora kidemokrasia nchiniKweli kabisa, huwezi mlinganisha dikteta na mwana diplomasia.
Mimi napinga namba Moja kuwa baba haambiliki.Ukiwapanga marais wanne bora kidemokrasia nchini
Namba 1 ni JKN
2. Mzee Ruksah
3. Ni JMK
4. Samia (huyu mpaka amalize kipindi chake akiendelea hiv, akawapuuza wahafidhina) kuna uwezekano akawa namba 2)
5. Mkapa
6. Hakuna
Kwa nyakati zake ilikuwa lazima sometimes awe kichwa ngumu. Nchi ilikuwa na wajinga wengi na kwa bahati mbaya hao hao wajingo ndo ndo walikuwa pia walalahoi. JKN alikuwa dikteta kwa kias fulan kwa kulazimishwa na mazingira na nyakati, huwez kulinganisha na udikteta wa yule mchungi wa ng'ombeMimi napinga namba Moja kuwa baba haambiliki.
Unadhani Watanzania ni wajinga kumwita baba haambiliki?Kwa nyakati zake ilikuwa lazima sometimes awe kichwa ngumu. Nchi ilikuwa na wajinga wengi na kwa bahati mbaya hao hao wajingo ndo ndo walikuwa pia walalahoi. JKN alikuwa dikteta kwa kias fulan kwa kulazimishwa na mazingira na nyakati, huwez kulinganisha na udikteta wa yule mchungi wa ng'ombe
Vyeti feki mbona mnahasira hivi na MagufuliAngekuwa kama Nyerere, basi asingeruhusu yule mwendawazimu wa Chato ANAJISI Ikulu yetu. Huo mtihani wa kwanza anapata ZERO kwa kumfanya Magufuli mgombea kisha Rais wa Tanzania
Wana hasira na mchungi wa mifugo kuingia patakatifuni magogoniVyeti feki mbona mnahasira hivi na Magufuli
Vita vya uchumi ni vigumu jamani ona Magufuli kuwatumbua vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mafisadi, wezi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya,wanamchukia hawariziki kuamini amekufa bado wanapambana nae huku wakijificha kwenye kichaka cha udikteta,watu wametekwa,watu wameuawa,sijui kapora democrasia lakini yote ukifatilia kiini ni kuwatumbua vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mafisadiWana hasira na mchungi wa mifugo kuingia patakatifuni magogoni
Wana hasira na mchungi wa mifugo kuingia patakatifuni magogoni
Ndo maana nikakuambia alilazimishwa na mazingira. Vinginevyo zingatia Lengo kuu la diktata wengi huwa ni kujinufaisha binafsi yeye na watu wake wa karibu wanaotii na kushadidia udikteta wake, nambie JKN alijinufaisha vip na udiktata wake?Unadhani Watanzania ni wajinga kumwita baba haambiliki?
Aliharibu uchumi wa wananchi kwa kuwahamishia kwenye vijiji ya ujamaa vya mfano.
Watanzania wenye asili ya Tz hawakuruhusiwa kufanya biashara binafsi kila kitu duka la ushirika ila watu kutoka Asia waliachiwa matokeo yake Sasa wamekamata njia kuu zote za kiuchumi.
Kuna aina nyingi ya ulafi kwa baba haambiliki yeye ilikuwa power na sio Mali yaani ukionekana unakitaka kile kiti ujue kitakupata Cha mtema kuni mfano kamuulize Kambona.
Nchi kutokuwa na vipaumbele binafsi na kuamini kwenye umajumui wa Afrika hivyo kama Taifa kupoteza rasilimali muhimu ikiwemo fedha, watu na hakuna Cha maana tulichopata.
Unadhani kwa nini alikoswa kupinduliwa kama mara tatu, hii ya mwisho na kina bibi titi, captain maganga na kina Hans pope?
Kifupi nchi ilivurugwa kwa muda wake wote wa miaka 24 aliyokaa madarakani.
Hivyo maraisi wangu bora kiuchumi na kidemokrasia ni;
1.Benjamin William Mkapa
2.Jakaya Mrisho Kikwete
N.B Sasa Kuna wajinga wengi kuliko zamani
Kumlinganieha Jakaya na Nyerere nahisi ni kuto msoma vizur Nyerere na kujia itikadi yake ile ilikuwa ni hipi hasa!Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
inategemea wanalinganishwa kwmy jambo ganiUnalinganisha Nyerere na JK wewe kweli barvicha
USSR
Hivi unajua sio kila dikteta ni mpenda Mali?Ndo maana nikakuambia alilazimishwa na mazingira. Vinginevyo zingatia Lengo kuu la diktata wengi huwa ni kujinufaisha binafsi yeye na watu wake wa karibu wanaotii na kushadidia udikteta wake, nambie JKN alijinufaisha vip na udiktata wake?
Mkapa labda kias flan kiuchumi lakn kidemokrasia hamkaribii JMK. Mzee Kikwete ni baba wa demikrasia wa Taifa hili, jana leo na kesho...labda Mama akijitahidi kujitenga na magenge ya wahafidhina anaweza kumpiku JMK huko mbeleni lakin kwa sasa JMK hana ulingansho kidemokrasia na kiuchumi pia.
kama kuna kosa kafanya Mchungaji Mackenzie ni kukosa kukuzoa na kwenda kukufungisha funga ya miujizaFicha upumbavu wako mvaa kobazi mmoja wewe usie na akili zaidi ya zile za Makka na Madina