- Thread starter
- #41
HakikaHapa Tanzania kuna mambo mengi ya kizamani sana ambayo tunayafanya kwa kweli tunapaswa kubadilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaHapa Tanzania kuna mambo mengi ya kizamani sana ambayo tunayafanya kwa kweli tunapaswa kubadilika.
mimi ni Raia wa kawaida ambae sijaona umuhimu wa hiyo mikutanoViongozi wasio na uwezo ndio wataona usumbufu, huenda ww ni kiongozi mwenye uwezo mdogo, hivyo unahofia hii changamoto. Nina hakika ww ulikuwa ni mmoja ya walioshauri kuzuia hiyo mikutano. Mbona kila siku tunaona mikutano ya hadhara viongozi wa dini, na hatuoni viongozi wa dini nyingine wakishindwa kufanya kazi zao kisa kuna mikutano ya hadhara ya kidini?
mimi ni Raia wa kawaida ambae sijaona umuhimu wa hiyo mikutano
Wewe inaonekana hata ukilala njaa utasema ni wanasiasa wamesababisha ilhali ni uzembe wako.Umenena vyema mkuu, hawa wanasiasa wanaturudisha nyuma
Hawezi kukuelewa, kumuelewesha chizi ni kujipa kaziMikutano ya kisiasa ni ya MUHIMU Sana nchini.
(1) Ni chanzo kizuri cha kuamsha bongo za watu .Yaani kupitia mikutano hiyo watu huelimishwa mambo mbalimbali yahusuyo demokrasia na uchumi wa nchi hasa ambao hawakwenda shule madarasa ya ju .
(2) Mikutano husaidia watu kushare changamoto kiulahisi. Watu wanapo kutana wanawezesha kuzijua changamoto za mitaa au maeneo yao kiulahisi na kuziweka wazi mbele ya hadhira na kuwezesha serikali husika kuzijua na kuzifanyia kazi.
(3) Mikutano hiyo inasaidia watu kutua vihoro vyao ju ya changamoto na matatizo yaliyopo kwenye jamii. Vinginevyo watu watakaa na changamoto zao mioyoni na baadaye wanaweza kupandwa jazbaa na kuchukua hatua zisizo faa kwa serikali yao.
(4) Mikutano hiyo inasaidia vyama kueneza Sera na mipango yao . Ili wananchi wavijue vyama hivyo vizuri hasa Sera zao,Maona ,Mipango,na dhamira zso lazima kuwe na mahala pa kukutana na wananchi hadharani.
(5) Mikutano inatengeneza integration kwenye jamii .Watu wanajuana na kuaminiana zaidi wanapo kutana marakwamara.
Nk
mikutano ya dini imengiaje ? wao hufanya mikutano kwa nia ya kutangaza habri za yesu au mtumeIla unaona umuhimu wa mikutano ya dini?
Wewe endelea tu KUDHANIMi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha I
Kwan katiba inasemaje? Na nn kinawakera kuwepo kwa mikutano ya kisiasa? Maana hawazuii utawala kufanya kaz zao! Kila mmoja atakula alikopeleka mboga!!Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
Je, kuna faida gani kutawadha baada ya kwenda haja kubwa?Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
mikutano ya dini imengiaje ? wao hufanya mikutano kwa nia ya kutangaza habri za yesu au mtume
Hayo ni mawazo ya mtu yaheshimiweIla CCM ina vichwa jamani!! Hiki nacho ni kichwa cha CCM na kinaongoza vikao vya wilaya.
Swali la kujiuliza, Kwa Nini kuwe na upinzani kama mnatekeleza majukumu yenu? nyie chama Cha mambuziHabari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
hiyo mikutano haina faida yoyote ni bora aachwe aliyeshinda atekeleze Ilani yakeNi mjinga tu ndo anayeweza kuona mikutano ya hadhara inaweza kumzuia aliyeko madarakani ashindwe kutekeleza majukumu yake ...
Wewe ni mgumu kuelewa mikutano ya dini na siasa wapi na wapiVyama vya siasa hufanya mikutano ya hadhara kwanza kwa mujibu wa katiba, pili ni kuhubiri sera za, na tatu mikutano ya hadhara ni fursa ya wao kuvutia wanachama wapya kupitia sera zao. Usipoelewa uliza.
Inamzuia vipi aliyeshindahiyo mikutano haina faida yoyote ni bora aachwe aliyeshinda atekeleze Ilani yake