ππππ tatizo hata mkiletelewa mtu anataka mabadiliko na maendeleo mtamkataa tu watanzania uwezo wa kufikiri mdogo sanaMswahili bila fimbo aendi, chama tawala bila amsha amsha hakiwezi leta maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ tatizo hata mkiletelewa mtu anataka mabadiliko na maendeleo mtamkataa tu watanzania uwezo wa kufikiri mdogo sanaMswahili bila fimbo aendi, chama tawala bila amsha amsha hakiwezi leta maendeleo
Wewe ni mgumu kuelewa mikutano ya dini na siasa wapi na wapi
ππππ tatizo hata mkiletelewa mtu anataka mabadiliko na maendeleo mtamkataa tu watanzania uwezo wa kufikiri mdogo sana
hiyo mikutano haina faida yoyote ni bora aachwe aliyeshinda atekeleze Ilani yake
usome post ya mtoa maada alivyoanza kilaza weweKama angeshinda hadi leo matokeo ya uchaguzi wangeogopa kuyaweka kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama sheria inavyotaka?
usome post ya mtoa maada alivyoanza kilaza wewe
kwa hiyo hapa unadhani umekuja kuexpress hisia zako au kichangia mada ?Post ya mtoa mada iko na marking scheme nini, kiasi kwamba tutoe majibu yanayoendana na hisia zake?
Hoja yako umeijenga kwa namna ya kuonesha wapinzani ndio wanaofanya iyo mikutano wakati kiuhalisia kwa miaka 6 tumeshuhudia chama tawala pekee ndio wanaofanya iyo mikutano. Ilitakiwa uwaoneshee kidole chama tawala sio wapinzani, Inaonesha wewe kero yako sio mikutano kwa ujumla kero yako ni vyama pinzani kupewa iyo nafasi ya kufanya mikutano. Mimi naona cha muhimu kusiwe na ubaguzi kama kukatazwa ikatazwe kwa wote kama kuruhusiwa iruhusiwe kwa woteHabari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
kwa hiyo hapa unadhani umekuja kuexpress hisia zako au kichangia mada ?
kwamba wewe ni mchapakazi kuliko woteWatanzania ni lazima tujiepushe na maswali ya kivivu maana yanaleta tabia za kivivu
Kuuliza β kuna faida ganiβ ni misemo ya kivivu sana. Ni misemo ya kulalama na sio kujenga
Maswali ni kama
Je tufanye nini kusaida taifa?
Toa mbinu?
Yaani Watanzania kukutana na wananchi kujadili nchi yao unauliza kuna faida gani kweli? Hivi tuna watu wa type gani sikuhizi hapa?
Wanachama wapya utawapata wakati wa uchaguzi pekee..!!??Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
Wanachama wapya utawapata wakati wa uchaguzi pekee..!!??
kwani kupata wanachama lazima mikutano ?Wanachama wapya utawapata wakati wa uchaguzi pekee..!!??
kwa uzoefu wako ungetuelezea inatakiwa iweje?Eti hiyo ndio βdemokrasiaβ ya vyama vingi vya siasa inavyofanya kazi, ha ha ha. Waafrika bado tuna safari ndefu.
Ni njia mojawapo ya kupata wanachama..!!kwani kupata wanachama lazima mikutano ?
Sikuelezi, tuone utafanya nini.kwa uzoefu wako ungetuelezea inatakiwa iweje?
ππππSikuelezi, tuone utafanya nini.
Jiulize swali hili kuna faida Gani cccm kubaki mamlakaniHabari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye uchaguzi unaofuata?
Chama kishashinda kwanini hiyo mivutano isiachwe Bungeni na kwenye mabaraza ya Madiwani badala ya kuendelea kutuchanganya wananchi?
Uchaguzi ushaisha kwanini wananchi tukaachwa kusumbuliwa vichwa na tukatekeleza malengo na matakwa ya Chama kinachotawala?
Hivi mama yuko bize na majukumu ya kazi anasikia CHADEMA au chama chochote wanaandaa mkutano na maandamano kuhusu katiba mpya au mfumko wa bei au ugumu wa maisha au safari za Mama au mikopo kwa Maneno makali mengine ya kweli na mengine uzushi kama tulivyo zoea mikutanoni. Je, haiathiri utendaji wa serikali?
Je, ni mikutano pekee wanaweza tumia kufikisha ujumbe kwa wananchi? Magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii?
Mi nadhani kuna haja ya hili jambo kuangaliwa upya ,Mikutano ifanyike mwaka mmoja kabla ya uchaguzi au kipindi cha uchaguzi.
Sasa hiyo mikutano itamtoa CCM madarakani ?Jiulize swali hili kuna faida Gani cccm kubaki mamlakani
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Hapo sasa !!Taifa linakuwa kama binadamu au mmea kwahiyo kila uchao kuna mambo mapya, unadhani kwanini CCM wanafanya hiyo mikutano si watulie tu wafanye kazi zao kama ni kutueleza wanachofanya vyombo vya habari vipo watatutangazia.