Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Asee oneitis inawatesa sana vidume wa jf,,How come umrudie Ex wako na unategemea atakua na Genuine Desire na ww? Mwanaume kumrudia ex ni kukosa options as a Man,na Mwanamke akishajua huna options basi kazi unayo,ndomana mnakuja kulia lia kila siku humu.

Hivi wanawake wote hawa huwaoni uanze kuhangaika na ex wako? Sifa ya Mwanaume nikua na access ya unlimited number of women.

Ni aibu kabisa hii,tushasema You can not negotiate Genuine Desire.

Dah.
 
Unashidweje wakati una mawasiliano na mnasikilizana?

Mtoe Mtoko wa maana siku moja mkae sehemu tulivu y Faragha .
Usimlazimishe kufanya tendo au kuhitaji mwambie leo ni Mazunguzo tu .
Anza mlipokwazana mkaachana ukiyazungumzia mapungufu yako na kuomba msamaa na kaahidi kuto kurudia makosa na zaidi sana utakuwa bora kila sehemu

Mwombe naye awe muwazi kama kuna sehemu kuna disari akuambie ,mwambie wakati mwingine pengine nilikukwaza pasipo mimi kujua nikijua nilikuwa Sahihi kumbe ulikwazika hivyo afunguke upo tayari kuyafanyia kazi.

Akonyesha kukubali ni mwendo wa kuganga mapya.
Katitete wewe ni Mwanaume .
Nb: Usisahau zawadi na kadi ya kuombea msamaha .
 
Ukitaka kumrudisha ex wako hakikisha huyo jamaa wake mwingine unamzidi kwa kila idara,Yaani kuanzia kwenye pesa,pamba na Mambo mengine ambayo yatamfanya ex wako ajutie kuachana na wewe.

Siku Moja mfate shogake umuombe number ya ex wako.Ukifika ndani mtumie message ya muamala kwenye Simu Yake Kisha fuatisha message ya hivi" dear ex, I miss you so much"😂

Siku ya pili nenda kwenye duka jirani na kwao Kisha lipia bidhaa ambayo unaona itamfaa na ataipenda,mfano lipia lotouon Kali Kisha muambie mangi Kuna mteja atakuja kuuchukua huo mzigo.Ukifika nyumbani msanue ex wako kwamba Kuna zawadi mahali aifute.

Natumai kufikia hapo hutahitaji nguvu nyingi kumrudisha ex wako, atajiongeza mwenyewe.Kwetu tunasemaga " things will take their natural course"

Thank me later.
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).

Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.

Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
Angalia uhusiano kati ya Ronaldo na Man Utd kuna kitu utajifunza
 
Wee turudiahe majeshi tuu mwanawane....kama kukamatika ndio tulishakamatika hatuna ujanja kwa hawa warembo wetu. Ah mie wacha kwanza nimtumie buku 20 hapa la lunch alafu nisindikize na sms za bby come back
Ahahaha braza hiyo 20k heb tuma kwa maza home kama yupo uone..hata usipo send text kwamba "mama pray for me", believe me she will.
 
Wakuu nadhani mko poa

Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au
Ungekuwa umempachika mimba na akazaa kumrudisha ingekuwa ni sawa na kumsukuma mlevi.
 
Ah ata mie magetoni hataki kuja yaani tunapanga aje au tukutane basi dah dakika za mwisho utasikia, nimepatwa na dharura ndio imeisha hiyo
Mkuu Madini yakimwagwa apa mbinu ntakazotumia hazina tofauti na huyo manzi unafukuzia😀
 
Back
Top Bottom