Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
We dada upo??Mimi huwa wanarudi wenyewe, nikiachana na mtu lazima atarudi round ya pili... Bahati mbaya sipashagi makabichi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dada upo??Mimi huwa wanarudi wenyewe, nikiachana na mtu lazima atarudi round ya pili... Bahati mbaya sipashagi makabichi...
Yani jf wanaume wamekua feminized 1000% yani pure crappy [emoji706]Try to be a man..yani mwanaume umuombe demu mrudiane?
Angalia uhusiano kati ya Ronaldo na Man Utd kuna kitu utajifunzaWakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).
Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.
Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
Ahahaha braza hiyo 20k heb tuma kwa maza home kama yupo uone..hata usipo send text kwamba "mama pray for me", believe me she will.Wee turudiahe majeshi tuu mwanawane....kama kukamatika ndio tulishakamatika hatuna ujanja kwa hawa warembo wetu. Ah mie wacha kwanza nimtumie buku 20 hapa la lunch alafu nisindikize na sms za bby come back
Mama sii ana mume wake...wacha mume wake amtumie. Siwezi ingilia jukumu la mdingiAhahaha braza hiyo 20k heb tuma kwa maza home kama yupo uone..hata usipo send text kwamba "mama pray for me", believe me she will.
Nipo Daudi1 ni miaka nimepotea. Uko poa lakini?We dada upo??
Ungekuwa umempachika mimba na akazaa kumrudisha ingekuwa ni sawa na kumsukuma mlevi.Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au
Aaah!! Prof. Umegundua Nini?Says alot about ur taste in men🤔🤔🤔