Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

Kitu watu .hawaelewi pesa uliyonayo ndoitaamua itumikeje mm kuna kipindi nakwama elfu kumi wanapambana nayo had siku nne
 
Na kodi nalipa, mi sina nyumba anko nadhani ndio mwanajf pekee nisie na nyumba [emoji23][emoji23][emoji23] nijengewe sanamu
Muwe mnatembea nje ya mji unaweza pata kisehem chakujenga hata room tatu kwalaki tano hadi sita halafu anaweza sema mpe kidogokidogo
 
Hicho kiwanja cha laki sita ndugu yangu, kutoka huko hadi niingie mjini kazini si itanichukua siku mbili 😁
 
2014 nilikua nalipwa 250,000/= kwa mwez nikawa naish tu nina mke na mtoto hata sijui nilikua naishije...Leo hii nalipwa 2,500,000/= hata bado sijui naishije yan naona siku zinaenda tu.Nadhan Mungu ndio wa kunisaidia nitoke hapa
Yani hela ikiwa nyingi matumizi yanazidi hiyo ninyingi
 
Watu tumekaa dar tukiwa hatuna kazi maalumu ya kutulipa mshahara, sasa hapo kwenye kilo 3 na sunu, mbona Mangi nitaishi naye vzr tu.
Kusa sehemu niliambiwa mshahara ni 120k ilikuwa mwaka 2007, nilitaka nikimbie kazi, wenyeji/ wafanyakazi wenzangu waliniambia nitulie nisome mazingira kwanza. Huwezi amini katika hiyo kazi nilifanya miaka 10, na namshukuru sana Mungu maana aliweza kunipa heshima kubwa mtaani.
 
Wow ulianza na mshahara huo na ukagrow? Ama uliridhika hivo hivo for 10 yrs mkuu?
 
Back
Top Bottom