GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.

Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Wewe kwa vile basha wako Abdul kakupangia apartment na kukulisha ndiyo maana umekuwa bongolala
 
Reactions: vnn
Moyo umekufa ganzi! Sioni mwanga mbele.

All in all, ukombozi ni hatua! At least there has been some sensitization......
Polisiccm wameandamana kwa niaba ya wananchi na tayari ujumbe umefika kote Dunia wanajua Tanzania hakuna haki na hakuna uchaguzi huru na haki bali kuna uchaguzi wa maigizo tu
 
Mm nimeamka asubuhi niwahi nikacheki masnich yanayo enda kutiki nikajipitisha pale watu hamna aisee yaan nikasema hata km hatujaandamana ila mwaka huu kula ni chache sana
Mbwa uchache wa kura unakuhusu nini au unahusiana nini na maandamano?
 
Utabiri wa marehemu shekhe yahya unaenda kutimia
 
Ccm wenyewe pia walichangia sana kuyavumisha maandamano hayo katika mikutano ya kampeni, sijui walishikwa na woga gani mpaka kuleta taharuki nchini wakati tulishasema hakuna maandamano, hiyo ni mikwara tu mitandaoni. Hii sio vizuri ccm kuingizwa chaka kwa maandamano yasiyokuwepo
 
Unacheka mpaka unaweka emoji za kucheka kabisa,unafurahi nini?
Mtoto wa malaya wewe
 


Jiunge Zello channel Oktoba 29
Hii ni public channel
Na inaruhusu mtu kusikiliza pia anonymously
Tupeane updates
#MO29 #OktobaTunatoka
 
Leo ni mwanzo tu wa maandamano ya muda mrefu tunawaacha majeshi waandamane wao wakichoka ndiyo tunaingiza timu ya ukombozi hadi tarehe 17 March 2026 atakapoapishwa Rais wa mpito.
 
Maandamano ya namna hii si kawaida kutokea tanzania, bora uchaguzi ufanyike kwa amani tuone nini cha kufanya baada ya uchaguzi, labda suala la maridhiano ya kitaifa yawepo kuponya taifa na mambo yaliyotokea kuelekea uchaguzi huu
 
Kikubwa ni ujumbe ufike Dunia kuwa Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki na lengo la mandamano ilikuwa kufikisha ujumbe na bahati nzuri Polisiccm wameandamana week yote mitaani kwa vitisho vingi, wamefanya mandamano pasipo kujijua na ccm wamepata hasara kubwa kwa kugharamia posho na kununua magari na vifaa vya kuzuia mandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…