GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uchaguzi umefeli vipi watu wanaendakupiga kura SEMA wes2 ndio hujaenda mzee nenda barabarani ukakomboe nchi sio kujificha jamii forum Leo tarehe 29 umesahau🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wote tumeamua kuwa CCM
Acha itawale
Leo tunaimba iyena iyena CCM nambari wani
 
Hamna maandamano barabarani, yamebaki humu humu JF, FB, Instagram na X (au Twitter). Hamuwezi kuwadanganya Watanzania kuwa Samia ni mbaya. Wananchi wenyewe wanjionea maendeleo. Ni wavivu tu ndiyo wanalialia
 
Hiyo ndiyo STRATEGY ya uongozi wa chama. Siyo ropropo za akina Lissu na Heche. Mtu kachukua uongozi Januri 2025 kufika April karopoka na kadakwa na kutupwa selo. Makamu Heche naye mwezi Mei hataki kusaini kanuni za maadili, tupa kule mbali
 
Ujui unaye bishana naye ni genius
 
Yahee hakuna mtanganyika wa kukubali kuongozwa na MZANZIBAR TENA ALIYE THE MOST STUPID FAIZAFOXY
 
Wewe huhesabiki kwenye kundi la watu wanaohitajika.Ndio sababu hata ukiisusia Serikali huharibu chochote.Usijiingize kwenye kundi la watu.Usijipe umuhimu you are a nobody just a fool filling an open space.
Endelea kuwa ngazi ya mafanikio ya watu ujinga kajazane na makima wenzio
 
Na wakatihuohuo hakuna mtanganyika anaeruhusiwa kuwa hata mkuu wa wilaya huko Zanzibar?.

Lakini wao wanauwezo wakuwa viongozi huku!.
mzee mwinyi alikua rais au shule ili kukuta sokoni ukiokota tu vituvitu
 
Hiyo ndiyo STRATEGY ya uongozi wa chama. Siyo ropropo za akina Lissu na Heche. Mtu kachukua uongozi Januri 2025 kufika April karopoka na kadakwa na kutupwa selo. Makamu Heche naye mwezi Mei hataki kusaini kanuni za maadili, tupa kule mbali
We umenufaikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…