GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Week yote Polisiccm wanazunguka mitaani na kutoa vitisho kwenye media kwa lugha sahihi polisiccm wameandamana kwa niaba ya wananchi pasipo kujielewa, wao walijua wanawatisha watu kumbe vitisho mikwara yao ni promotion ya mandamano zaidi na lengo la mandamano limetimia kwa nia ni kufikisha ujumbe Dunia kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo matupu
 
Kwani Tanzania kuna uchaguzi?
Uchaguzi wapi?
 
Pumbavu zenu leo ndiyo mwisho wenu hamtaaminika tena
 
We ni Kibaka tuu ulikua unaangalia madirisha ya watu
 
Vituo ni vitupu hakuna watu zaidi ya kujaa Polisiccm na maccm wenyewe
Wapinzani wanatakiwa kupiga picha za video vituo vyote tena picha za 8K kabisa kuwa ushahidi...maana wapinzani wa Tanzania ni wapumbavu wanaweza kuacha hii fursa
 
Ungesusa kupumua ungeeleweka.Ususie Serikali ili iweje wewe nyumbu?Serikali inakuhitaji kwa lipi kwa mfano?
Nyumbu ni ccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama maccm yalivyo mengi yanaogopa mandamano mpaka kutuma Polisiccm kutoa vitisho kuzunguka mitaani na mabunduki
 
Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.

Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Nyumbu ni ccm kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama ccm waoga wametumia mabilioni kununua vifaa magari ya polisi kutuma Polisiccm kutoa vitisho mikwara mingi kuzuia mandamano
 
Amani ni kitu cha muhimu sana, acheni tu uchaguzi ufanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…