Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha blablah, kama hujui ungana nami kuhoji, ni kwanini maandiko yote yame omitt maisha ya Yesu baada ya balaehe hadi alipofika miaka 30, why? Lengo lenu nini?!Comment yangu nilikujibu vizuri Tu lakini ukaamua kuipuuza, nahisi kuna majibu na nia zako binafsi unazoziamini
Ni biblia hiyo hiyo imeandika yesu alipofikishs umri wa miaka 12 alipotea hekaluni Ila Yusuph na Maria walimpata baadal akitoa hekima na maarifa kwa watu ambao walimshangaa kwa umri wake na kauli kubwa aliyoitoa ni kuwa "alikuwa kwenye nyumba ya baba yake".. Kwa hiyo usidhani Yesu alianza kuwa Yesu baada ya ubatizo maana ingekuws hivyo bhasi tungeoneshwa kama historia nyingine kwenye bible
Kingine Yesu alikuwa ni fundi seremala kama alivyokuwa baba yake Yusuph. Kingine pia usijisahaulishe Yesu alikuwa ni nafsi ya Mungu katika mwili wa binadamu. Kwa hiyo hakuwa kama Mimi na wewe kwa asilimia sote
Kingine biblia ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo vilichambuliwa na kuwekwa pamoja ili kutoa dira ya kiimani kwa watumishi wake
Lakini haimaaanishi kuwa hakukuwa na vitabu au mapokeo ya kihistoria yaliyoachwa. Najua fika kama umeegemea katika biblia huwezi kuijua historia ya bikira mariamu mama wa Yesu Ila ipo, kuanzia utoto wake hadi kufikia point ya kumzaa Yesu katika mapokeo ya kihistoria ndio itakuwa historia ya Yesu kristu isijumuishwe
Halafu kama wewe ni mkristu utajus ya kuwa Mungu haangalii past yako katika jicho la kibinaadanu ndio maans Yesu alisema, hata dhambi zako ziwapo nyekundu kama damu Mimi nitazifamya kuwa nyeupe kuwa kama theluji
Kwa hiyo toba ipo kwa ajili hiyo kwa hiyo usiwe bitter na past za watu kinachoangaliwa ni usafi wao pale wanapookolewa. Ukisema hivyo bhasi utasema huwezi kusoma vitabu vya mtume paulo kwa sababu alikuwa muuaji wakati akiitwa sauli
Mfalme daudi, mussa, mfalme suleiman na wengine ambao waliteleza na kusamehewa. Brother kiufupi kuhukumu ni kazi isiyokuhusu
Kwanini lazima nile ndio iwe ekaristi? Kwani hiyo ni dawa inayofanya kazi ‘physically’ kama panadol? Au ni kitu spiritual?Sasa ww ulitaka kula kitu gan na ukiite ekaristi??
Jibu nilichokuuliza acha blabla. Akati unahoji maswali yako ulifix kwenye biblia tuu, sasa iweje uniulize mimi reference za wewe za kutumia ?Iwe kwenye biblia au otherwise, ni kwanini kipindi critical baada ya balehe hadi miaka 30 kimeondoloewa kwenye maandiko yote? Why? Lengo lenu ni nini?
Wewe acha blablah, kama hujui ungana nami kuhoji, ni kwanini maandiko yote yame omitt maisha ya Yesu baada ya balaehe hadi alipofika miaka 30, why? Lengo lenu nini?!
Eti Yesu ni MunguYou so said tunachagua baadhi ya mambo with extreme bias... Tueleze mambo yapi hayo tuliyoyabagua. Hiyo ni moja.
Pili; Yesu ni Mungu, hilo halina mabishano. Hatuli nyama ila mwili na damu yake. Tunapokula mwili wake tunakumbuka upendo wake usiomithilika hata akautoa mwili wake uteswe ili sisi tuokolewe.
Tunapokunywa damu yake tunakumbushwa thamani yetu ya wokovu. Hivyo, tunapokula mwili wake na kunywa damu yake tunakumbuka matukio mawili muhimu katika wokovu wetu - kifo na ufufuko wake - kama alivyotuagiza tumkumbuke mpaka atakaporudi.
Kupitia kupokea mwili na damu yake, tunapata uzima wa milele na tunaendelea kukumbushwa jinsi alivyotupenda na akajitoa kwetu mzimamzima, bila kujibakisha. Kuna upendo mkubwa zaidi ya huo?
Niliposema biblia nilimaanisha maandiko in general, au hata movies, au hata hadithi za word of mouth, general namaanisha records hazisemi chochote, why?Jibu nilichokuuliza acha blabla. Akati unahoji maswali yako ulifix kwenye biblia tuu, sasa iweje uniulize mimi reference za wewe za kutumia ?
Icho kipande Kimeondolewa kwani kiliwahi kuwemo ? Unaondoaje kitu ambacho hakipo wala hakikuwahi kuwepo ? Au hujui maana ya kuondoa ?
Ngonjera hazitasaidia, hicho kichaka hakina majani, rudi tu huku, na ujibu hoja ya kwanini maisha yake baada ya balehe hadi miaka 30 hajaandikwa wala kuelezwa popote, alimuona nani? Alizaa watoto wanagapi? Au alienda kwenye hibernation kama yale madubu ya polar regions? Kwanini , why?!Ujinga ni kutokujua kwa hiyo mjinga akielekezwa na akajua, ujinga humuisha Ila upumbavu ni foolishness na foolishness ni kipaji kama ilivyo urefu na ufupi.
Sio maneno yangu, ni Nyerere huyo mkuu 🙏🙏
Inabidi tukubali tu kwamba mungu alitahiriwa, tutafanyaje sasa ndugu yangu, ukiwahoji kama hivi wanakuwa wakali sana..Eti Yesu ni Mungu
Afu Mungu alitahiriwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sometimes kuna imani zinaondosha kabisa logical thinking.
Biblia haijaandika kila kitu kumhusu Kristu:Soma biblia uone hivyo vifungu vya kuanzia kuzaiwa hadi miaka 12. Pia soma biblia uone hivyo vifungu vya kuanzia miaka 30 hadi kufariki kwake. Ika kuanzia miaka 13 hadi 30 hamna kitu, totally blank!!!!! Binadamu yeyote ambae hayuko biased, free thinking, an attached na hana maslahi binafsi, ni lazima atahoji, ni kwanini hakuna maelezo yeyote juu yake katika kipindi critical kama hicho cha maisha yake?!
Kajielimishe kuhusu maana ya bibilia ndio urudi hapa.Niliposema biblia nilimaanisha maandiko in general, au hata movies, au hata hadithi za word of mouth, general namaanisha records hazisemi chochote, why?
Kajielimishe kuhusu historia ya biblia na vitabu vyake ndio urudi hapa.Unaposema kitu hakijaondolewa unata kuniambia Yesu alizaliwa, akaishi hadi miaka 12 , halafu akafariki, kisha akafufuka baada ya 17yrs akiwa na miaka 30, halafu akaendelea kuishi hadi aliposulubiwa na kufariki tena? Au unamaanisha nini? Kwamba hakuishi between
Huwa sifanyi arguments, nafanya discussion ONLYNgonjera hazitasaidia, hicho kichaka hakina majani, rudi tu huku, na ujibu hoja ya kwanini maisha yake baada ya balehe hadi miaka 30 hajaandikwa wala kuelezwa popote, alimuona nani? Alizaa watoto wanagapi? Au alienda kwenye hibernation kama yale madubu ya polar regions? Kwanini , why?!
Mbona tumeshakujibu - alisema fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.Kwanini lazima nile ndio iwe ekaristi? Kwani hiyo ni dawa inayofanya kazi ‘physically’ kama panadol? Au ni kitu spiritual?
Yesu ni Mungu.Eti Yesu ni Mungu
Afu Mungu alitahiriwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sometimes kuna imani zinaondosha kabisa logical thinking.
Angalia movie ya "The Young Messiah" imeonesha jinsi alivyokua kama Wayahudi wengine wote, itakuonesha vitu vingine pia ambavyo alivipitia na kuvitenda katika makuzi yake kwa mujibu wa Mapokeo Matakatifu.Niliposema biblia nilimaanisha maandiko in general, au hata movies, au hata hadithi za word of mouth, general namaanisha records hazisemi chochote, why?
Unaposema kitu hakijaondolewa unata kuniambia Yesu alizaliwa, akaishi hadi miaka 12 , halafu akafariki, kisha akafufuka baada ya 17yrs akiwa na miaka 30, halafu akaendelea kuishi hadi aliposulubiwa na kufariki tena? Au unamaanisha nini? Kwamba hakuishi between 12 and 30, hivyo hakuna kilichokuwa omitted?
Angalia movie ya "The Young Messiah" imeonesha jinsi alivyokua kama Wayahudi wengine wote, itakuonesha vitu vingine pia ambavyo alivipitia na kuvitenda katika makuzi yake kwa mujibu wa Mapokeo Matakatifu.
Wewe ni mkristo? Kama jibu ni ndiyo, je unaenda kanisani? Kama jibu ni ndiyo, kwa nini unaenda physically na usiende spirituality? Kwa nini watu wasiabudu spiritituality tu wakiwa nyumbani?Naona wewe kidooogo unaelewa ninachojaribu ku-inquire
Logic ya wapi? Ya kutunga wewe? Kama ni hivyo basi binadamu kwenye kuabudu tusingepaswa kufanya matendo yoyote kwa miili yetu. Tungepaswa kufanya mambo kwa kutumia imani na fikra basi!Logically inatakiwa hata usipokula uwe umepokea...
Otherwise inakuwa ni kama masharti ya kiganga...na ile dhana ya kuabudu vitu itapata nafasi hapo...
Ngoja wataalamu waje.....
Hiyo alikuwa na umri gani?Vipi kuhusu ya adult Messiah, kipindi yuko wa moto kabisa, 18+ years, movie yake mnaiachia lini?