Kazi zipi zakumalizwa na machine? Kwa bongo hii au nchi nyingine? Hapa hapa mkuranga watu wapo wangapi wanamaliza kazi Kwa machine! Simu zinapotosha sanaYaani mtu na mkewe halafu changu chetu na chako chako.. huo ji upuuzi bora ukae nyumbani tu usubiri cha kupewa huku ukihudumia familia kwa ukaribu.
Na nyumbani sio kazi zote atafanya yeye iwapo nyote ni watafutaji, siku hizi kazi nyingi zinamalizwa na mashine labda muwe mnaishi kijima.
SahihiInategemea na kipato Cha mume wake.
Amina.Mungu awalaze mahali pema peponi.
Sheria itaamua. Binafsi naweza ondoka hapa bila hata kijiko.Alafu tukiachana unataka mgao wa 50 kwa 50 kwenye mali ambazo sio jukumu lako kuzichangia?
Sheria ipi inasema ni wajibu?Mtoa mada tayari ameshatoa taswira ya familia anayoiongelea, anaongelea familia ambayo mke na mume wote wa kipato. Katika familia kama iyo mchango wa mwanamke ni wajibu sio hiari
Uhodari mwingi sana kwneye kuelezea hali ilivyokuwa hapo zamani. Ni kwa vile bibi na mama zetu walivumilia sana kunyanyaswa kiuchumi, kila kitu ngoja baba aje. Haufafahamu hili sababu walikuwa hawalalamiki wala kuonesha kwa watoto wao. Lakini walihakikisha binti zao hawapitii waliopitia wao, zaidi wanapofiwa au kutelekezwa na mwanamme, au kipindi mwanamme anafuja mali kwenye jambo lisilo na manufaa kwa familia/watoto. Wamama hawa walibebea 'resentment' juu ya baba zenu, matokeo yake ikawa watoto wanapokuwa wakubwa, masaada mkubwa zaidi anapewa mama au tuseme anakumbukwa zaidi (si tunajionea wenyewe kwenye jamii zetu?) japo baba yupo hai na ndio aliyevuja jasho na damu kuwalea.
Pesa anayopata unaitolea macho ya nini? Kuhudumia familia kifedha narudia ni jukumu la mwanamme. Ukosefu wa wababa wengi wanaoelewa majukumu yao limekuwa jambo la kawaida kwenye jamii ya sasa. matokeo yake tunapata vijana ambao hawaoni umuhimu wa kuhudumia familia zao sababu hawana mfano unaoeleweka wa kiume. Wanaona mama zao walipambana na hivyo wake zao wapambane, hapana kubwa sana
Kwani sheria ipi inasema sio wajibuSheria ipi inasema ni wajibu?
Ngoja tuwaite wanasheria hapa kuondoa ubishi Petro E. Mselewa tafadhali okoa jahaziKwani sheria ipi inasema sio wajibu
Wanasheria watakuja tusubiri. Ila tu nikutaarifu kwamba mke ana haki ya kukopa au kuuza mali ya mume ili kuhudumia familia..kama tu mume hatimizi majukumu yake.Kwani sheria ipi inasema sio wajibu
Hapa unakuwa umechangia chakula?? 😀Mbona chakula napika mimi tunakula wote wewe huoshi vyombo?
VemaKazi ya mwanamke ni kusaidia kujenga familia kiuchumi, kijamii, na kihisia. Hata hivyo, kuchangia fedha sio lazima; kila mmoja anachangia kwa njia yake, na usawa na umoja kwenye familia ni muhimu zaidi kuliko kutegemea michango ya kifedha pekee.
Chakula kanunua yeye..waziri wa fedha ni yeyeHapa unakuwa umechangia chakula?? 😀
Samahani, lakini siungi mkono mtazamo huu. Nadhani ndoa inapaswa kuwa ni ushirikiano wa pande zote mbili, na kila mmoja akichangia kwa njia yake, iwe ni kifedha, kihemko, au katika malezi ya familia. Kutoa ni hiari, lakini inapaswa kutokana na mapenzi, heshima, na kuelewana, siyo kwa kulazimishwa. Sidhani kama kumwambia mwanamke afanye kazi ili kuchangia kwa lazima ndiyo suluhisho la changamoto yoyote inayojitokeza. Ndoa inahitaji ushirikiano na siyo kutoza au kutoa, bali kuelewana na kusaidiana.
Wewe ni mshirika katika Familia ndio mhasibu Kama sio katibu wa Familia.Chakula kanunua yeye..waziri wa fedha ni yeye
Ni kweli. Mhasibu anashika pesa zilizotoka kwa waziri wa fedha na kuzipangia matumiziWewe ni mshirika katika Familia ndio mhasibu Kama sio katibu wa Familia.
Vipi Kama waziri katika serikali hiyo kipato chake haitoshi kuendesha serikali lakini mhasibu yeye yupo njema?Ni kweli. Mhasibu anashika pesa zilizotoka kwa waziri wa fedha na kuzipangia matumizi
Ndo hapo uhiari unapokuja. Kusaidia kupo.Vipi Kama waziri katika serikali hiyo kipato chake haitoshi kuendesha serikali lakini mhasibu yeye yupo njema?
Kuna miongozo lazima iangaliwe kama hayo majukumu yapo ndani ya uwezo wa mwanaume na mwanamke hawezi kuyamudu. Sio kwamba unaamka tu asubuhi unavhukua hati ya nyumba unaenda kutafuta mteja wa kuinunua. Haiwezekani una kipato cha milioni moja halafu uende kukopa kwa sababu mume hajaacha elfu 10 ya chakula. Hata hao wakopeshaji watakua wajinga labda upige nao dili.Wanasheria watakuja tusubiri. Ila tu nikutaarifu kwamba mke ana haki ya kukopa au kuuza mali ya mume ili kuhudumia familia..kama tu mume hatimizi majukumu yake.