ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwanini asimuache?Inasikitisha lakini hapa cha kuangalia ni vile moyo wako unataka.
Huyo kama kumuacha ulitakiwa umuache mapema kabisa ile ile 2022 alivyotapanya zile hela alizopata Nssf na wale marafiki zake.
Hapo kubali kataa huwezi muacha tena.
Kaka sijui nikuambie nini comment zangu zote nilizo comment hapa sio kwa ajiri ya kufurahisha jukwaaStory ya mwanamke mwenzenu haijanyooka.
-kwanini huyu jamaa aliacha kazi punde tu mwanamke alivyoahamia geto kwake?
-ile milioni 2 alioyobaki nayo ni kweli yote iliishia kwenye starehe? hakusolve chochote nyumbani kama msosi, umeme, gesi n.k?
-amesema jamaa amegoma kubadilika, je huwa anaongea nae nyakati gani na kwa lugha gani?
Mlilia usawa kati ya me na ke 50/50Nina ushuhuda wa wanaume aina ya mume wa mleta mada sio 1 au 2 waliobweteka na kujisahau na kutelekeza majukumu yao
Sasa kama mwanaume aliona mke kabweteka si angesema kunyamaza kwake sio sababu ya yeye kubweteka na kunyamanziwaMlilia usawa kati ya me na ke 50/50
Wakati mmewe alipokuwa kazini, mkewe alikuwa amebweteka.
Sasa mke yuko kazini, ni zamu ya mume kubweteka...shida iko wapi.
Nyie wengine ndio hukataza wake zenu wasifanye kaziOnjeni uzito tunaoupata kwenye jukumu la kutunza familia.
Acheni kulialia, huo ni wajibu
Nyie mnataka usawa wa kijinsia at the same time muendelee kupata benefits alizokua anapata mwanamke nyakati za mfumo dume. Kitu ambacho ukikileta kwenye uhalisia unaona hakuna mtililiko wa kimantiki. Mnachokitaka ili kiwe practicable mwanamke unatakiwa uolewe na mwanaume tajiri. Bahati mbaya hatuna matajiri wa kutosha kuweza kuwaoa hata 3% tu ya wanawake wote.Kwamba wanawake kuamua kufanya kazi tunasababisha uhaba wa kazi kwa wanaume?
Hili jambo sio jepesi, ni gumu sana, nakushauri tu ujinyonge, sioni mlango mwingine.Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Kwa ufupi zaidi ni atumie akili sio hisia.Sijui nakushauri vibaya au lah
Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married
Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute
Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?
Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke
Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume
Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi
Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu
Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza
Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako 🙏
Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani
Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
We sasa unaanza kuzingua, yaani angekua anahudumia yeye peke yake angekuita wewe selfish??Shida sio kutumika familia shida tuna tumikiaje familia why nitumikie pekee yangu wanaume nyie too selfish
Huyo mwanamke asiende popote, akae hapo hapo atunze familia...Akimbie fastaaaa sio la kujiuliza hiloooo!
Haya ni maamuzi ambayo ulishayafanya muda mrefu. Ulileta uzi hapa kutafuta uungwaji mkono tu.Asante wote mlionishauri ,na wengine walionifokea yote kwa yote nimeamua kuchukua maamuzi ya kuludi nyumbani kwetu nimpe nafasi ya yeye kujipanga kimaisha zaidi na tumekubaliana akiwa sawa kiuchumi basi ataichukua familia yake lakini pia sitomlazimisha akiamua pia kututelekeza ni maamuzi magumu ila kunawakati inabidi tupeane nafasi katika utafutaji kukaa pamoja kuna ongeza msongo wa mawazo na malumbano tumeafikiana hivyo mengine tumuachie mungu🙏
Mlilia usawa kati ya me na ke 50/50
Wakati mmewe alipokuwa kazini, mkewe alikuwa amebweteka.
Sasa mke yuko kazini, ni zamu ya mume kubweteka...shida iko wapi.
Onjeni uzito tunaoupata kwenye jukumu la kutunza familia.
Acheni kulialia, huo ni wajibu
Hapo kwenye kujifanya dalali 😀inawezekana jamaa ni boya
Mjinga fala na Hana akili tukitumia story yako ila kama tukitumia uhalisia mvumilie mchizi wanaume wanakuaga na mbanga nyingi ambazo wanawake wengi hawajui
Binafsi nakutana na hiyo hali ya kutotaka kazi ngumu na huwa napiga simu zisizo na maana kujifanya dalali?? Mvumilie mwana uku mtaa hakuna mzima
Mvumilie.Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
kwamba aachane nae labda atapata mwanaume mwengine wa kumuoa au? Unamaanisha nini kiongozi.Umetoa ushauri mzuri sana kwake ila akiachana nae tu ajue nje vijana hawaoi single mother wa kizazi kipya
Hakunaaaaaa!Huyo mwanamke asiende popote, akae hapo hapo atunze familia...
Si mnaonaga ni jambo rahisi rahisi... Hahaha
Muache kila la kheriNishauri kodi imeisha na yeye kalala ndani nilipe kodi ilhali anauwezo wa kutoka na kufanya vibarua au niludi kwetu mana nikilipa napo atazidi kulemaa
Ningelikuwa mimi ndo huyo kijana kamwe nisingekufuata tena nikisimama kiuchumi kwasababu hufai kuwa mke kama utamkimbia mwenzako kisa kayumba kiuchumiHaya ni maamuzi ambayo ulishayafanya muda mrefu. Ulileta uzi hapa kutafuta uungwaji mkono tu.
Kama ni Handsome boy, usimuacheMimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..