Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

Sasa ni lipi mkuu?? Or unataka tuwafundishe wenyewe watoto wetu!?,
swala la kuwafundisha ni la mwalimu lakini mzazi anapaswa kutengeneza mazingina rafiki ya mtoto kujifunza
naomba kunukuu

Ni muhimu kufahamu kuwa matokeo ya mtihani yanategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na juhudi za mwanafunzi, mazingira ya kujifunzia, na mbinu za kufundishia. Hata hivyo, kumlaumu mwalimu moja kwa moja kwa matokeo mabaya ya mtoto sio njia bora ya kutatua suala hilo. Badala yake, hapa kuna hatua ambazo mzazi unazoweza kuchukua na sio kukimbilia kumlaumu mwalimu:

  1. Mazungumzo na Mwalimu: Anza kwa kuzungumza na mwalimu wa mtoto. Uliza kuhusu maendeleo ya mtoto darasani na jinsi unavyoweza kumsaidia kuboresha matokeo yake. Mawasiliano mazuri na mwalimu ni muhimu.
  2. Kufuatilia Maendeleo: Fuatilia maendeleo ya mtoto kwa karibu. Jua ni wapi anahitaji msaada zaidi na jinsi unavyoweza kumsaidia kujifunza vizuri.
  3. Kuweka Mazingira Bora ya Kujifunzia: Hakikisha mtoto ana mazingira mazuri ya kujifunzia nyumbani. Kuwa na ratiba ya kujifunza, eneo la utulivu, na vifaa vya kujifunzia.
  4. Kuhamasisha na Kumsaidia Mtoto: Msaidie mtoto kujiamini na kumtia moyo. Onyesha kujali na kuwa tayari kumsaidia kwa njia inayofaa.
  5. Kushirikiana na Shule: Kushirikiana na shule ni muhimu. Hudhuria mikutano ya wazazi na ufuatilie maendeleo ya mtoto.
 
usemacho kitakuwa kweli pale tu ambapo zaidi ya robo tatu ya darasa wamefeli lakini ikiwa ikiwa ni mwanao pekee ndo kafeli hapo kosa ni eidha la kwako mzazi au mwanao
Kwani mwalimu anafundisha hao robotatu peke yake? Jukumu lao walimu kuangalia afanyaje kusaidia hiyo robo iliyobaki. Watoto pia wanatofautiana uelewa, Mimi kama mzazi nimepeleka mtoto wangu shule
swala la kuwafundisha ni la mwalimu lakini mzazi anapaswa kutengeneza mazingina rafiki ya mtoto kujifunza
naomba kunukuu

Ni muhimu kufahamu kuwa matokeo ya mtihani yanategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na juhudi za mwanafunzi, mazingira ya kujifunzia, na mbinu za kufundishia. Hata hivyo, kumlaumu mwalimu moja kwa moja kwa matokeo mabaya ya mtoto sio njia bora ya kutatua suala hilo. Badala yake, hapa kuna hatua ambazo mzazi unazoweza kuchukua na sio kukimbilia kumlaumu mwalimu:

  1. Mazungumzo na Mwalimu: Anza kwa kuzungumza na mwalimu wa mtoto. Uliza kuhusu maendeleo ya mtoto darasani na jinsi unavyoweza kumsaidia kuboresha matokeo yake. Mawasiliano mazuri na mwalimu ni muhimu.
  2. Kufuatilia Maendeleo: Fuatilia maendeleo ya mtoto kwa karibu. Jua ni wapi anahitaji msaada zaidi na jinsi unavyoweza kumsaidia kujifunza vizuri.
  3. Kuweka Mazingira Bora ya Kujifunzia: Hakikisha mtoto ana mazingira mazuri ya kujifunzia nyumbani. Kuwa na ratiba ya kujifunza, eneo la utulivu, na vifaa vya kujifunzia.
  4. Kuhamasisha na Kumsaidia Mtoto: Msaidie mtoto kujiamini na kumtia moyo. Onyesha kujali na kuwa tayari kumsaidia kwa njia inayofaa.
  5. Kushirikiana na Shule: Kushirikiana na shule ni muhimu. Hudhuria mikutano ya wazazi na ufuatilie maendeleo ya mtoto.
. 1 sio muhimu, nakumbuka hata wakati nipo shule kuna mzazi alikuw na hizo pigo hata walimu walikuwa wanamuona msumbufu
.2 hakuna mzazi asiyefanya hivyo, kila mzazi anafatilia maendeleo ya watoto zao iwe baba iwe mama, usitake kuniambia kuna wazazi wote wawili eti wamepeleka watoto wao halafu wakakausha hata ripoti za mitihani hawaulizi (uongo)
. 3 kwamba mtoto ajengewe nyumba yake peke yake ya kusomea ama???, hii nayo inaongelewaga tu lakini haina mashiko. Mtoto anakaa chumbani kwake anatulia anasoma na ndo ipo hivyo
. 4 impractical (movies zinakuchanganya tu mkuu) , haina impact yoyote kwenye ufaulu wa mtoto, walau ungesema mazungumzo mzazi na mtoto (Wazazi wanaongea sana tu na watoto wao, hakuna mzazi haongei na mwanae).
. 5 wazazi wachache sana ndio hawahudhurii vikao vya shule
 
Hapo kwenye suala wazazi kuzungumza na watoto wao ... Kuna wazazi hawazungumzi kabisa na watoto wao kuhusu maendeleo Yao kielimu wanachojali wao ni kufanya mambo ya kuwafurahisha watoto wao tu hata kama mtoto hayupo motivated kusoma yeye hawezi kuzungumza nae ili awe motivated anachojali ni kumnunulia simu na kumuwekea bando alafu mwisho wa mwaka unakuja kumuuliza mwalimu kwa nn mwanangu kafeli?

Na kuhusu kufanya ufatiliaji mpka kuonekana kero (kama ulivyosema kipindi unasoma) instokea pale tu ambapo mzazi anamfata mwalimu ili Ali akiamini kuwa tatizo ni mwalimu na kumuona mwanae daima yupo clean
 
Huyo ni mzazi mpumbavu. Wenye watoto English medium wanajua kinachowakuta sasa hivi. % kubwa wazazi ndo wamekuwa walimu, homework kibao. Lakini baadhi ya hao wazazi wananyanyua mikono juu na kuona walimu wana kazi ngumu sn maan watoto wa siku hizi % kubwa hakuna kitu kichwsni.

Sasa km English medium wazazi wanaungana na walimu kumfundisha mtoto lakini bado anafeli, sasa iweje Mwalimu pekee.

NB
Ila kweli kuna walimu baadhi vichomi sn, kazi yao ni tungi na kujipodoa yu hawafundishi na hata baadhi wanaofunfidha ni incompetent. Hatari kweli kweli.
 
Back
Top Bottom