Sorry, nimenukuu vibaya, nima ghazabu sana na hawa wauajiUsirahisishe vitu kwa mtazamo huo
Asante!Hii inanionyesha ni jinsi gani ujumbe umekuingia na kuupokea Vizuri na kwa Usahihi kama nilivyotarajiafunk you
nothing to say but funk you
Malipo ni hapa hapa mkuuBaada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
we kahaba hebu usituletee usenge hapa mtu ameuwawa wewe una tafta mahaba shwain!huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Issue ni je kulikuwa na umuhimu wa kutumia risasi za moto kwenye issue tu ya maandamano tena ya amani ya watu wasio na silaha hata za jadi?. Kwanini askari wetu hawawezi kutumia hata busara kidogo?NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Matatizo ya kuzaliwa kupitia njia ya haja kubwa..kwa akili yako lile lilikuwa ni daladala la Chadema? Kuna maandamano ya amani watu hawana silaha unategemea shughuli zote zisimame? Mambo ya kujifanya wakereketwa wa chama ilihali ni mbwa wa madale mtaendelea kuishi kwa kuvaa manguo ya chama muda wote.Hivi kwa akili yako kwenye vurugu kama hilo kuna dala dala litapita?
Wewe NI MPUMBAVU NA TAAHIRA USIYEJIELEWA,
Hawana makosa kwa kumpiga risasi raia asiye na hatia,hana jiwe mkononi wala fimbo unamshambulia kwa risasi halafu unasema POLISI hawajakosea????
Utakapokuta mama yako,dada yako,baba yako watoto wako wamefanyiwa hayo urudi tena kuandika utumbo wako hapa!!!
Hakuwa kwenye maandamano,alikuwa ndani ya daladala.sio unakurupuka tuhuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
wanaume wa Dar machozi yenu yapo karibuu,sijui wanawake wenu itakuaje....jamani nimeumia sana, nimejikuta machozi yananitoka
Sasa huyo binti kaingiaje katika anga zao?NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Wewe kiazi mbatata kweli sasa ulitaka Chadema wabaki nyumbani kwao wakiwa hawana hizo fomu ili kesho wakasindikize wenzao,cha ajabu ni kuwa hujui hata kuwa ni kosa kwa polisi kutumia silaha za moto kwenye maandamano ya kawaida ilihali virungu vipo na mabomu ya machozi,acha unafiki.Kiongozi kwa hilo Unaeleweka...tatizo humu watu wana attack direct bila kuangalia hayo mavyama yao ndiyo kimekua chanzo cha kuzima ndoto za binti huyu.....Kiongozi hapo chadema wasingeingia barabarani kungetokea hii balaa?!na Mambosasa alisema toka mapema zaidi ya mara moja lkn hawasikii.