Wajinga sana hawa jamaa hata kama wanapewa order kutoka juu wakati mwingine lazima utumie common sense kutekeleza hizo order.Halafu yakipata matatizo yakuuliwa na majambazi eti yanataka tuwaonee huruma,, pumbav
Siku wakimpiga mama yako risasi ya matako ndio useme ivyo tusijiingize kwenye anga zao, pumbavu sana we mtoto wa kahaba, walishindwa nn kupiga risasi hewani au kuwasindikiza mpk ofisi ya huyo mkurugenziNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Kwa hiyo mnaanzisha vurugu ili watu wasiojulikana waue watu?Vipi kama hiyo risasi haikupigwa na polisi!??maana inabidi tuanze kuwaambia ukweli wenu na Umafia wa viongozi wenu.....!!
Umefichama kwenye keyboard halafu unajitutumua kama nini? Haya ndo yanayosababisha upuuzi kama huu kufanyika kisa matumbo yenu, mnashawishi watu ujinga halafu wakiuawa mnakuja kulialia humu... Polisi wakifa 50 jiulize raia watakufa wangapi? Tuache kuchocheana ujinga wa kihivyo hii nchi ni yetu sotembali sana huko mkuu,inatakiwa kumalizana nao hukuhuku,mbiguni Mungu mwenyewe ataamua pa kuwaweka
Yaani kila nikaangalia haka kabinti nahisi moyo unasimamaSiasa, hizi siasa , jamani why lakini why?Ndoto iliyozimwa!
Hebu tujiulize, kisha tujiulizeNi kosa gani alililitenda huyu malaika
Ni sheria gani aliyovunjaHata ikampasa Kifo?
Oh Mola, moyo wangu umezizimaGanzi imeupiga mwili wangu
Huzuni imenivaa
Nikiuangalia uso wa huyu mtoto
Katenda kosa gani?
Wana Hatia
Hatia
Hatia
Wameua!
Oh Mola nyoosha mkono wako
Ponya Taifa hili
Huyo angekuwa mwanao ungejaribu kutafuta njia ya kutuliza watu jazba ili leo na siku nyingine yasitokee tena nchini kwetu!Ingekuwa ni Mdogo wako ungeandika hivyo,inasemekana marehemu alikuwa abiria ndani ya daladala,je kosa lake ni kuwa ndani ya daladala,au hakupaswa asafiri,au ulifikiri na yeye alikuwa anandamana?.Hata kama unatetea chama chako unapaswa ujue all in all uzembe aukustahili kuwa chanzo cha kukatisha ndoto zake,hata kama angekuwa ni mwanachama wa chama cha upinzani,sina chama lakini kuna mambo yanatokea unajiuliza maswali mengi ya yasiyo na majibu
Huyo angekuwa mwanao ungejaribu kutafuta njia ya kutuliza watu jazba ili leo na siku nyingine yasitokee tena nchini kwetu!
Siku ya leo kila mtu anayejali Amani na busara atatamka maneno ya Amani ili liliotokea jana lisitokee tena Leo!
Na Mola ni mwaminifu kwani huwa hadanganyiki anajua motives and intentions za Kila mtu, na walahi kila mtu atavuna ayapandayo!
DAMU YA AQULINA HAIKUMAMWAGIKA BURE!
Kujua kama maandamano yalikokuwa yamepita yalisababisha uporaji, uhalibifu wa mali kuumiza watu wengine nkUsirahisishe vitu kwa mtazamo huo
Mkuu dent alikuwa ndani ya daladalahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
VURUGU mmeanzisha nyinyi kwa kuingia mitaani kufanya maandamano yasiyo na maanaKwa hiyo mnaanzisha vurugu ili watu wasiojulikana waue watu?
Wewe ni kichaa?huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Halafu wana maisha mabovu mnooo,Wajinga sana hawa jamaa hata kama wanapewa order kutoka juu wakati mwingine lazima utumie common sense kutekeleza hizo order.
Yano hawa polisi sijui wanaachaga akili kituoni wakitumwa kazi na wakubwa zao
Hapo ndo mwanzo wa ujuha wetu unapoanziaga jamani, Ukicheka na nyani tutavuna Mabua, ni kweli anayehukumu ni Mungu lkn jukumu la kumpelekea wahalifu ni letu.Hivyo basi tunatakiwa tuanze utekelezaji mara moja, wakishafika huko basi yeye ndo atajua atawahukumu saa ngapi.Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni