Hakuwa anasoma secondary ya boarding ni wa chuo kikuu, kila mtu ana ratiba zake baada ya masomo.huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Inauma sana ı wish i would say something but nimeishiwa nguvu.Matumizi ya akili hayapo kwa haya majitu.Imagine wew ndo mzazi wa huyo binti utajisikiajeWanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.
Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.
Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.
Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha
naona kwenye twitter ya mdee na heche wakidai mawakawala wao bado wanazuiwa kuingia pamoja na kuwa viapo wamepewa, baadhi ya vituo wanaambiwa viapo feki, na baadhi askari polisi wakitaka vitambulisho vya ukaazi, nimeona uzi kwenye twitter wa mtu anaitwa Ole seif kuwa majeruhi wa risasi waliokuwa wamelazwa mwananyamala wameaga dunia, naona idadi ishafika wa3 kwa tukio la jana tuHuyo Kambaya na Lipumbavu wake machakosi sana
Utakuwa unahusika na findings za TWAWEZA kuhusu supporters wa CCMWa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Unajuaje hakuwepoWewe hukuwepo!
Tatizo mmeshalewa madaraka tangu lini risasi za moto zikatumika kwa watu wasio na silaha na watu waliokuwa wanadai haki yao wapewe mapema kesho waamkie kwa vituoWa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Kila kitu kina utaratibu wake....mlitegemea mfanye Uvunjifu wa Amani alafu mletewe Biriani au Wali mweupe......!!Haram inalipwa Kwa HaramTatizo mmeshalewa madaraka tangu lini risasi za moto zikatumika kwa watu wasio na silaha na watu waliokuwa wanadai haki yao wapewe mapema kesho waamkie kwa vituo
Ngoja niendane na uelewa wako. Kwa hiyo kuwa kwenye mikutano ya kisiasa (ambayo ni haki yake) kuna justify yeye kuuawa kwa kupigwa risasi?huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?