Huenda walifikiri, wakifanya yao kabla, wangestukiwa. Hivyo wakasubiri kisingizio (UVIKO) kurahisisha ujifichi wao.
 
[
Duuh basi kuna mambo yanatakiwa yawekwe sawa na kuchunguzwa zaidi
Kama alivyo ongea mdau hivi vitu vinawezekana.Mara nyingi hizi series ukizitizama kuna vitu vingi sana hasa vya kisayansi huwaga wana vizungumzia unaweza usitilie maanani ili kuna situation zikitokea ndipo unapokumbuka iliwahi kutokea ktk series fulani na kunaa article mbalimbali washa zungumzia jinsi ya ku-attack peacemaker.

Mfano nimeangalia series moja ya maswala ya Artificial intelligence inaitwa Person of Interest,vitu wanavyo vizungumzia mule ndivyo wanavyo vipigia kelele maprogrammer ktk documentary ya Social Dilema na tiyari -ve impact ya AI ishaanza kuonekana kwani hizi AI zishaanza kutumika ktk social networks platforms zote.
 

Nakubaliana na wewe. Na kitengo maalumu ya kumlinda Rais kinapaswa kuwajibika katika hili .

Hakitowajibika kwa sababu kuwajibika ni kutangaza madhaifu.

Kwa evolution ya technology ya sasa, you cannot invest too much into guns and guns powder ukasahau Technology

Technology is making it easier and easier for fewer and fewer people to do greater and greater damage
 
And it was recorded!!!!! Why?????
 
Wachina wangekuwa maadui wa Tanzania , wasingepewa mikataba ya gesi kusini mwaka nchi!!!
Gesi walipewa enzi ya Kikwete na hata ukiangalia miradi mikubwa mara nyingi walikuwa wanapewa wao,ila kwa sasa ni tofauti mf mradi wa treni ya umeme kapewa Mturuki,Mradi wa bwawa la umeme kapewa Mmisri (Kumbuka hii miradi mikubwa kuna matilioni ya shilingi) na mradi wa Bandari ya Bagamoyo JPM aliufuta kabisa ambao ulitakiwa ufanywe na wachina na wachina wawe wamiliki 100% kwa miaka zaidi ya 99 baada ya hapo ndipo tupewe na michakato iliashaanza kipindi kile Kikwete anamalizia mda wake.
 

No No No you guys are mistaken the truth.

I am not denying the COVID, but seems you are lacking the science of COVID.

Kwa mfano rahisi kabisa, Science ya COVID yafaa kumtizama mipango alivyo struggle pre infection and post infection.
 
Huenda walifikiri, wakifanya yao kabla, wangestukiwa. Hivyo wakasubiri kisingizio (UVIKO) kurahisisha ujifichi wao.
Mtu anayeweza kutengeneza na kuanzisha silaha hatari kabisa kama corona, sidhani kama anaogopa hata chembe ^kushtukiwa^ Imagine Bill Gates was discussing publicly on live television the future crisis kuhusu ujio wa corona kabla hata haijatokea (2016)!!!
 
Conspiracy zimeanxa tayari
Ni kweli kabisa mkuu. Njama zimeshaanza na kuna watu wanafanyiwa tyming waweze kupotezwa kwenye Ulimwengu wa siasa. Ni suala la muda tu walengwa watajulikana.
 

hili suali lako ni sawa na kuuliza mbona wewe hukuzaliwa kabla ya kaka yako , au mbona umezaliwa baada ya Mdogo
Wako

Mkuu everything needs. Perfect time
 
No No No you guys are mistaken the truth.

I am not denying the COVID, but seems you are lacking the science of COVID.

Kwa mfano rahisi kabisa, Science ya COVID yafaa kumtizama mipango alivyo struggle pre infection and post infection.
Je mkuu alivyougua nani ajuaye!???
 
And it was recorded!!!!! Why?????
Raisi ni Samia regadless of what happen to Jpm. Kama kuna uchunguzi amiri jeshi ndo atatoa amri ya uchunguzi.

Swali ni kutokana na namna alivyomuadress raisi, mleta mada anatambua na kuheshimu nafasi ya Samia kama amiri jeshi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…