Mungu ni mwema.Hakika kama kuna mkono wa yeyote latika kifo cha kipenzi na mtetezi wetu sisi wanyonge,basi Mungu atamlipia.Amen
 
Leo nimeandika uzi kuomba usalama ili niandike niyajuayo...uzi umefutwa ila mimi najua...
Umefutwa kwakua hukusema huo ukweli wenyewe. Ulichofanya wewe ni kujenga taharuki kwa sisi wana jf bila kusema unachotaka kusema
 
POtelea mbali , Ben Saanane, Azory Gwanda , wako wapi? Coco beach sandarusi za maitit, MKIRU, etc etc yalifanywa na nani? Ni yeye Jiwe kwa amri yake. nani alimpiga Lisu risasi,ni yeye kwa amri yake. Ngoja naye ayaonje mauti mapema awakute huko aliowadhulumu uhai!
 

Hahahahahaha angalau Leo umetamka wazi hahahahha

Mfuate mkuu.
 
Yule huwa ni mshindi mara zote. Yule bwege bin mshamba wenu alimuweka ndani kwa miezi mitatu akafa mwezi wa tatu.

Huyu bibi akimuweka ndani meezi mmoja atakufa January.
Bonge la biti yaani.....[emoji23][emoji23][emoji23].

Ila siasa za bongo kwa wapinzani zinataka uvumilivu sana. Nimeshawahi kushiriki siasa za ccm hivyo nawajua nje ndani. Wapinzani wanachukuliwa kama maadui wakati lengo la upinzani lilikua ni kupambana kwa hoja na wala sio uadui.

Kinachosababisha yote hayo ni kulinda maslahi ya watawala
 
Unashangaa nini sasa

Wakati watu wanamfananisha yeye na Mungu na wengine wanasema Mungu anapaswa kumshukuru yeye kwa kazi anayofanya,

Halafu yeye aliyasikia yote hayo ka kaa kimya tu. Ulitegemea nini sasa.
 
JPM ni rahisi bora Afrika na hakuna atakayetokea wa kumzidi, Rais bora miaka yote, Yehova akinijalia maisha mema na marefu sita acha kuwa adithia wanangu mema ya JPM
Sahihi mkuu usemalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…