Je, ualimu ni kwa ajili ya watu maskini?

Huo ndio ukweli
 
Ualimu tatizo sana, Mimi ni mwalimu na matatizo ya ualimu Yana root causes 1.walimu wanatokea familia maskini ( unaelewa athari za kuzaliwa familia maskini) 2. Walimu Wana akili ndogo ya kuchanganua mambo hasa ya uchumi( ukikosa akili ya pesa unaijua hatari yake ndio maana wanarundikana kukopa na kujenga nyumba) 3.mshahara duni 4. Walimu hawajiamin 5. Nature ya kazi haimpi exposure na pesa ( mwalimu akisafiri kikazi ni either kusimamia mtihani au marking 6. Uwezo mdogo wa akili kiujumla
 
Wewe kama una ndugu au jirani mwalimu ni mzinguaji usiongee kwa ujumla. Mara ngapi mahospitalini unakuta wahudumu wamevaa nguo zimechanika au ukienda kukagua sare za baadhi ya askari?? Usiwe mjinga kwa kuwasemea walimu wote. Kama shuleni kwenu walimu Wana maisha ya hovyo ni nyie mjisemee
 
Vitoto vyangu 2 sijawahi kusikia wameropoka kuwa wanataka kuwa walimu.
Yaani bora kazi yangu ya kushika bunduki huyu wa miaka 7 anaipemda sana.
Najitahidi kumkemea ila kakomaa hayumbishwi.
Nadhani ni utoto.
Ila ni heri MWALIMU kuliko askari.
Mkuu kwa sababu gani labda heri mwalimu?

Me naona ni heri askari na sio mwalimu for sure.
 
kuna walimu wako mtaani wana vyeti wanatamani hata wapate mahali wafundishe part time lakini wamekosa...Jivunie ulichonachoπŸ’ͺπŸ’ͺ

Una maana gani? Ujivunie vyeti bila kazi au?
 
Mtoto wa tajiri gani kasomea ualimu?
We ushaona hii JAMII ya TZ ya waarabu ma wahindi wakisoma ualimu?

#YNWA
 
Vitoto vyangu 2 sijawahi kusikia wameropoka kuwa wanataka kuwa walimu.
Yaani bora kazi yangu ya kushika bunduki huyu wa miaka 7 anaipemda sana.
Najitahidi kumkemea ila kakomaa hayumbishwi.
Nadhani ni utoto.
Ila ni heri MWALIMU kuliko askari.
Sahih bora kua mwalimu kuliko askari, Askari wenyew mna majibu sahih ila uku mtaani watu wanawashobokea sana.
 
Mkuu kwa sababu gani labda heri mwalimu?

Me naona ni heri askari na sio mwalimu for sure.
Shida ya uaskari sio mshahara ila kazi zao ni za hovyo hovyo sana. Na katika harakati za kutimiza majukum hasa hawa magereza na polisi daah ila kikubwa vibunda asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…