Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

ungekatia na makofi kabisa.

Hawa wa ivi, tamthilia, movies na series zilishawaharibuuu bongo zao kitambo sana. Hulazimisha kuishi na wenza wao kwa DRAMA DRAMA na maigizo.
 
Haha. Sio kwamba alisema akiwa katika love language? Kwamba babe we unakata vitunguu, mm nablend juice? Ila hayo yafanyike familia ikiwa bado na watu wawili yaan mke na mume.

Mkiongezeka hapo baba ana majukumu yake nje kutengeneza garden.
Hamna love language hapo 😂🤣, Afu SI mpaka muwe na blenda 🙄🤔
 
Shida ni moja, psychology ya mwanaume haijaumbwa kudeal na mwanamke ambaye ana compete nae.

So ukisema hata Alpha males kuwa wapo interested na wanawake ambao wanalevel ya juu ya elimu, wapo high thinkers etc hivyo vitu huwa havivutii mwanaume yoyote ambaye ni mwenye uwezo wa kuongoza.

Labda hawa Beta males yaani wanaume wa kuburutwa.
 
tatizo munatubagua na kutuchambua. nikija mimi mbeba tofari utasema nanuka cement na sina fyucha.
 
Uzao wako wa kwanza utakuwa mapacha. Baraka zipo njiani zinakuja.
 
Freeze your eggs. Hata ukizeeka mayai yako yanakua mabichi bado
Hebu msije kututengezea watoto wa kisanyansi utadhani mlitumwa kurukaruka ujanani.

Kitu chochote ambacho kinakwenda kwa process kinyume na maagizo ya MUNGU huwa kina uharamu ndani yake.

Wanawake mnapenda sana kumjaribu MUNGU na nyie ndio chanzo cha majanga mengi hapa ulimwenguni sababu ya akili zenu zilizojawa tamaa, husuda, fitina, uhuni, uchoyo, ubinafsi, na ukaidi.

Sasa wewe kama kupata mtoto kuna umuhimu sana why uchezee muda muafaka halafu uanze kuleta sayansi zako muda ukishakwenda. Hizo kemikali za kuhifadhia mayai unajua zina madhara yapi kwenye mayai?

Na ukishahofadhi umri unavyozidi kwenda nani atakubebea mimba maana hata huo mji wako wa uzazi unaenda ukichoka hautataka purukushani za kushikishwa mimba utu uzimani.

Kwann mnakuwa na mambo ya ajabu sana enyi wanawake? [emoji848]

Kuzalia manyumbani kwenu utadhani wanaume waliwaktaa kuanzisha familia.

Kulala na wanaume hovyo sababu ya tamaa ya fedha. Kupenda kukinzana na uhalisia wa maisha kuwa mwanaume ni wakuwa juu yako na sio wewe juu ya mwanaume.

Hizi mambo ndio zinakuja kuleta maasi hapa ulimwenguni na kuwahukumu.
 

Miaka 10 mlikuwa na mpango wa kupindua nchi mkuu?
 
Umri mzuri wa binti kupata uzazi ni kati ya 19-25 years hapo hakunaga compe kabisa. Hii miaka ya 30s ndio inakuja na risk nyingi maana mwili ushakakamaa. Lazma utakutana na mambo ya mgongo kuuma na majanga mengine postnatal.
Feminists walaaniwe sana aisee. Wamewadanganya mabinti wengi sana kuwa wakimbize ndoto zao, sasa ndoto zenyewe ni za abunuwasi na hazipo kwenye uhalisia.

Leo mabinti wengi wamezalia majumbani kwa wazazi wao, wamezaa na wanaume tofauti, wanakazi na akiba ya kifedha au mali ila hawana sifa za kuwa mke wanaishia kujikumbatisha kwa vijana wadogo na wanaume za watu.

Haya ndio matokeo ya mafunzo ya wanaharakati a.k.a feminist.
 
Haha. Sio kwamba alisema akiwa katika love language? Kwamba babe we unakata vitunguu, mm nablend juice? Ila hayo yafanyike familia ikiwa bado na watu wawili yaan mke na mume.

Mkiongezeka hapo baba ana majukumu yake nje kutengeneza garden.
Mkuu ubaya nyie wanawake mpo kama maboss wakihindi, huwa mnajaribu kuingiza kidole kidogo kidogo ili muone reaction, mkiona mtu katulia mnataka muingize chote, kwahio haitakiwi mpewe nafasi hio hata yakuwaza kujaribu. Mimi napenda nifanye kitu bila kuombwa, yaani nijisikie, lakini ukianza niambia nahisi Iko siku utavuka mipaka. Kwahio siruhusu hicho kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…