EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
ungekatia na makofi kabisa.Niliulizwa hivi, ukinioa utakua unanisaidia baadhi ya kazi kama tukitoka kazini, nikamuuliza kama kazi zipi akasema kupika, nikamwambia hizo kwetu nikazi za kike Mimi siwezi kuingia jikoni eti nikupikie ww unaangalia tv eti kisa nakusaidia. Haka katoto kakaniambia hivi eti basi wewe sio type ya mwanamme naemtaka. Nikamwambia ok sawa hii furusa nayokupa kunawanawake kibao wanaitaka, sasa tulia katafute hao unaowataka ambao utaona mta match, baada ya masaa mawili kakanitumia msg sorry baby kama nimekuudhi nisamehe.
Nikamwambia yashaisha hayo we katafute perfect match, kakaomba msamaha yakawa yameisha. Nilichomuuambia baadae nikua ukizaa mtoto wakiume, akaoa ukaenda kumtembelea kwake ukakuta anamsaidia mkewe kumpikia halafu mke wake anaangalia TV utajisikiaje?. Then nikamwambia utakavyojisikia ndivyo mama yangu atajisikia , so kwetu sijaelewa hivyo majukumu ya mwanaume yanafahamika na yamwanamke yanafahamika, Kila mmoja atimize wajibu wake. Otherwise usidhani ntakuja kukusaidia kufanya kazi za kike. Kakawa kapolee, Sasa ndio hapo umesema wengi wanatafuta perfect match.
Hivi mm na umri wangu wa miaka 32 nisaidie Binti wa miaka 23 kupika, kuosha vyombo huku anaangalia TV?. Kama anaumwa ile siriously I can try.
Hawa wa ivi, tamthilia, movies na series zilishawaharibuuu bongo zao kitambo sana. Hulazimisha kuishi na wenza wao kwa DRAMA DRAMA na maigizo.