Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mwaka huu october nitagusa 29 na mwakani October nitagusa 30 na sina hata kimoja sio mke wala mtoto. Mpenzi wa kueleweka nilikaa nae 10 years alinipiga chin tangu hapo sijarudi kwenye ile hali ya kawaida. Jambo ambalo silitaki kuzaa hovyo na mtu nisiyetaka awe mke.

Anyway huo mwaka wa mwisho wa kujiangalia
 
Safi,weka mipango
 
Kaka hayo ni maoni yako, kwasababu negative thinking ya baadhi ya watu Humu.
👉Wana muona kama aliye jiweka wazi katika suala la ngono, Kutokana na skendo za kuchafuana humu
 
Nadhani kitu Cha kuzingati Sana Ni kujipanga kwa ajili ya kupata hicho ambacho unakitaka, uwe na malengo, unataka kupata mtoto ukiwa na umri gani?? Lakini pia kuzingatia baba Bora kwa ajili ya mwanao/wanao. Ni Bora ukachelewa na ukapata mtu sahihi.

Kuhusu muda sahihi Ni upi, kwa upande wa nyie kina dada Ni vizuri kukimbizana na ukomo wa hedhi. Naomba kuwasilisha mkuu.
 

True mkuu, kuna wale wa kuchagua chagua kwa kutumia vigezo ambavyo havina uhalisia na kuna wengine, kutokana na umri, wanaona wajiachie bila kujali wanavyochukuliwa, mwisho wa siku yanawakuta haya

Ila kwa ambao wamejikuta automatically hawajafanikisha hivyo, siwashauri kuwa desperate
 
Oya naona mkubwa kaaga kabisa, Baada ya kuambiwa hato rudi
Ina maana yeye ndio alikua mwandishi was zile nyuzi!!?sidhani!!

Nasubiri senior name watangaze maana tukio la senior wanalilea Kwa kutangaza dagaa wadogo kina mushi Hadi dagaa wakubwa!!

Zanzibar leak's wanakinukisha sana!!
 
Kuna kauoga huwa kapo naturally, na shida kubwa kabisa kwa mentality ya sisi wanaume,
Mwanamke akiwa na umri mkubwa , mzuri,elimu anayo na maisha anayo ila hana mtu ,hiyo huwa ni red flag,naturally watu wanaanza kuogopa kwanini huna familia ,
Unaweza kupata mtu muelewa mkaishi ,ila maswali yanakuwepo mengi mengi hasa kuhusu Tabia za muhusika.
Unaanza kupata wale wanapiga ila hawataki kujenga kibanda.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Umechagua sahihi, usizae hovyo. Ingia kwenye ndoa utafutie watoto humo, hata malezi yanakuwa na uelekeo mzuri. Sio huyu anaishi na mama A, yule yupo na mama B. Hata kipato chako kinaishia usipoelewa.
 

Tuchukulie mwanao wa kike kaja kukulilia mapajani kwako je, utampa huo ushauri ?.

Utanisamehe mkuu, lakini siwezi kumshauri mtoto wa kike aliye brilliant, mwenye exposure au kazi nzuri, ajishushe chini sana kwenye ile level ya kuonekana "si chochote ama si lolote" Ili tu asionekne threat kwenye ego ya mwanaume fulani

Kiufupi, siwezi kumfundisha mtoto wa kike kujivua ubora wake ili tu apate wanaume waliopo insecured juu ya uanaume wao. Maana mwisho wa siku watakuwa na conflicts zisizoisha na kumpelekea kujutia uamuzi wake

Ni kheri nimshauri aenze kwenda kwenye spheres and tables ambazo atakutana na Alpha males ambao hawatomuona kama threat kwa lolote.. Na kwanza watamkubali kwa qualities zake

Kwa ushauri wako ni sawa na kumuambia awe malaya au ajirahisishe kwa kujionesha cheap ili apate mimba for what. Si kheri azae na watu wa calibre yake ambao wanaweza mpa uhakika wa makuzi ya mtoto, maana kwa options ulizompa usingo mama hauepukiki, sasa si kheri azae na mtu hata mwenye ndoa lakini wanaendana "based na ushauri wako"

Kiukweli, siwezi kumshauri mwanamke yoyote brilliant kujishusha au kuficha ubora wake ili akubalike ila kama ana kiburi na dharau, ambavyo ni vitu common kwa baadhi ya independent ladies, naweza mshauri aache.

Mengine ni neema za Mungu tu maana jitihada haizidi kudra kwa hiyo,mengine ni kukubali tu kuliko kujiripua na ukahangaika maisha yote maana uamuzi wake wa sasa utaamua hadi hatma ya kiumbe atakachokibeba hivyo, lazma afikirie hilo pia
 
Ushachelewa bhn, ushakua lishangazi wasikupe moyo hao jamaa eti umri ni namba tu we asilimia za kumuona mtoto wako anaenda chuo ni ndogo sana kama umefika 30 huna mtoto si tunaamini umetumia muda wako vizuri kujijenga kiuchumi kwaiyo usichague chague wanaume ww tega yai tu ukichelewa tena humuoni mtoto wako akiingia secondary


Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…