Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

Mkuu comment yako imenichekesha sana...mama angu mimi kanitapeli milioni mbili mwaka huuhuu...hata huwa hainiumi
 
Mkuu alimroga au alichanganyikiwa?
 
Msaidie sana kuiunganisha familia yake
Mwenyenzi Mungu Mkuu amekupa vingi sana toka ulipopoteza
Unamoyo wakimalaika sana ndugu yangu
 
Msaidie sana kuiunganisha familia yake
Mwenyenzi Mungu Mkuu amekupa vingi sana toka ulipopoteza
Unamoyo wakimalaika sana ndugu yangu
Ntafanya hivyo mkuu
Nimevuka nusu karne sijawahi kuwa na tatizo lolote na binadamu hata polisi zaidi ya speeding ticket.

Kusamehe ni tabia ya kuiga tangu udogo
Shukran sana mkuu ntaendelea hivyo hivyo
 
kwakweli inauma kuuwaamini ndugu unaweza kujinyonga, inaniuma mno kwa hasara hii nakumbuka ilikuwa tarehe 12/7/2015 na baadae 25/10/2015 nikamwamini mtu wangu wa karibu Magufuli tukampa nchi kwakweli yanayoendelea mungu ndo anajua
cc tindo
🤣🤣🤣🤣
 
peleka polisi alipe usisamehe hiyo hela
 
peleka polisi alipe usisamehe hiyo hela
 
Duuh. Kwa nusu bei tena Mkuu. So ndio mwanzo wa kuniletea milango ya mbao ambazo kesho tu mchwa wamefanya makazi. Tatizo sio being Bali quality
matapeli kazini, huku usimwamini mtu kabisa,
ataenda kuokota vipande vya mbao ndo vitengeneze madirisha
 
Inahuzunisha!
 
Hahaha, nimecheka hapo "subiri"
 
Kama haina maandishi mtafutie jini kutoka Bagamoyo narabuku zake huyo!
 
Kama ni mimi hapo najali changu tu! Maswala ya ushemeji sijui wapwa au mapenzi yao na dada ni kivyaovyao wala mimi hainihusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…