Sasa hapo ndo Wabongo tunapokosea; utaombaje hekima wakati umetapeliwa Mkuu sema "Mungu anipe nguvu"Mbaya zaidi ni kuwa nimepata habari kuwa alitengeneza then akauza. Nina hasira sana ninavyoandika hapa. Mungu anipe hekima tu
Si watadanga wapate fasta tuSina hamu na marafiki zangu yani chumba niwalipie kodi alafu saiv hawatki hata nifike hapo kisa nilienda hapo nikalala kesho elf 50 yangu ikapotea kuwaambiao wanamind sasa nasubiria bado miez miwili kodi iiishe watafurahia show nawaambia na hivi hatuongei tena watajua nan atawapiga tafu kodi mxeeew
Kah, kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba hata hii umetapeliwa na Mtu wako wa karibu?kwakweli inauma kuuwaamini ndugu unaweza kujinyonga, inaniuma mno kwa hasara hii nakumbuka ilikuwa tarehe 12/7/2015 na baadae 25/10/2015 nikamwamini mtu wangu wa karibu Magufuli tukampa nchi kwakweli yanayoendelea mungu ndo anajua
cc tindo
"Mjomba ni mama", Msemo.Ha ha ha mi mjomba wangu kala million yangu, daah chanzo ni mother
Sipati picha ukimkamata huyo mbwa!Kuna mbwa mmoja anaishi kinondoni hapo nimemtumia mzigo wa kutuma mkoani wenye thamani ya 920,000 alafu anazingua kauza mzigo wa watu Alafu anajibu kwa jeuri nimemtafta anazima simu nikaamua kwamba niwatafte ndugu zake, ananiambia basi hao ndugu ulowaambia kunichafua ndo wakulipe,
Nasema hivi huyu jamaa nikimkamata ndo basi
Tena hawa wazee mara nyingi pesa ya kustaafu lazima wagawane na matapeli tu sijui kwaninihaya mambo basi tu jamaa alikuwa na mke na watoto nikamuonea huruma kwenye dili la m5 (ambalo mimi ndo injinia wake) anipe m1.5 hadi leo ajanipa ananizungusha
nacho furahi msimu mpya (tunafanya kazi kwa msimu) ananitegemea nifanye mazuri ntamliza mpaka ajute yaan kwenye m5 na nafahamu kashaipokea ila ananikwepa anashindwa nipa m1
ba mdg kampiga mzee wangu zaidi ya m100 za kustaafu. hii dunia hatari tupu
Loo, aiseeAnaona aibu sana ingawa najaribu kumtafuta
Leo hii nimepita karibu na nyumba yake ya zamani ingawa nasikia haishi tena na mke wake, na watoto watakuwa wamekuwa sasa maana ni kitambo
Mali sio kila kitu ila uungwana ni muhimu sana you never know nani atakusaidia siku moja katika maisha yako kwani hatujui ya kesho.
Nashukuru kwa kuliona hilo
Aiseee stori yako kama yangu vile. Kuna rafiki yangu tangu utoto nilimuomba anisaidie kusimamia ujenzi kutokana na mimi kuwa mbali. Pia kama mnavyojua mafumdi kwa kuhamisha vifaa. Basi jamaa nikampa na kazi ya kusimamia na manunuzi ya materials hapo ndio nilifutahi na roho yangu. Kila bidhaa aliongeza bei. Tripu ya mchanga laki moja yeye aliweka laki na 30 alipandilia bei hadi kwenye ufundi.Anaona aibu sana ingawa najaribu kumtafuta
Leo hii nimepita karibu na nyumba yake ya zamani ingawa nasikia haishi tena na mke wake, na watoto watakuwa wamekuwa sasa maana ni kitambo
Mali sio kila kitu ila uungwana ni muhimu sana you never know nani atakusaidia siku moja katika maisha yako kwani hatujui ya kesho.
Nashukuru kwa kuliona hilo
KachukuaMkuu comment yako imenichekesha sana...mama angu mimi kanitapeli milioni mbili mwaka huuhuu...hata huwa hainiumi
Aisee pole sana lakini wa hivyo dunia imemchapa na sasa anajutaAiseee stori yako kama yangu vile. Kuna rafiki yangu tangu utoto nilimuomba anisaidie kusimamia ujenzi kutokana na mimi kuwa mbali. Pia kama mnavyojua mafumdi kwa kuhamisha vifaa. Basi jamaa nikampa na kazi ya kusimamia na manunuzi ya materials hapo ndio nilifutahi na roho yangu. Kila bidhaa aliongeza bei. Tripu ya mchanga laki moja yeye aliweka laki na 30 alipandilia bei hadi kwenye ufundi.
Ikaja kwenye fremu za milango na grill za madirisha hakuniacha pia. Fremu za milango nilinunua mbao za mninga ili kupunguza gharama so ikawa gharama ni fundi tu. Huyo rafiki yangu alichukua baadhi ya frem za milango na kuuza akauza na mbao za kwa fundi.
Nmekuja kurudi nikiangalia hesabu yangu na nyumba ilivyonikajua tu hapa nmepigwa parefu sana. Nikamuuliza hivi kweli gharama hii ni sawa na nyumba hii akakasirika eti sina shukurani amenisaidia sana kusimamia ujenzi na hajala hata mia yangu ndio kwanza amelipa sana hela zake.
Tangu siku hiyo akaacha kupokea smu zangu na akanipga block moja matata sana kuanzia fb hadi kila sehemu. Nikatulia tu nikamalizia ujenzi nikiangalia hapo hapo.
Hili moja bado kwenye biashara ya kuchanga mtaji niliweka kama 6mils mwenzangu hakuweka hata mia ndio kwanza akala hela zangu. Mungu sio ngwizukulu wala kindukusulikucho saizi jamaa hama hata mia mbovu juzi kat ananipgia smu anaomba hata buku mbili ya kula mke alikimbia na watoto. Nilimwambia sina hata mia labda akakope finca kama anakopesheka
uko sahihi mkuu, mzee alipigwa kwa staili iyo pia ila mdg wake ndo mchora ramaniTena hawa wazee mara nyingi pesa ya kustaafu lazima wagawane na matapeli tu sijui kwanini
Story ndefu aiseePole.saaana twambie basii
Pole sanaWacha nitoe yangu kwa huzuni
Nitapeliwa na kuibiwa na mzazi mwenzangu wa ndoa kabisa zaidi ya milioni 10 nilimpakilia mzigo wa biashara akadai amekopwa kumbe alikula na malaya huko mkoa miaka mitatu nikafilisika nahangaika na watoto yeye ata chembe ya huruma hana nikambuluza mahakamani mahakama ikalegeza shtaka sikupata pesa yangu mpaka Leo na yeye yupo bado anavizia vizia kuniumiza tena namkwepa mahakamani niliambulia talaka na pasipi huduma ya watoto ila nakomaa nao nikikwama nauza nilichonunua maisha yanaenda huyo jamaa hana mafanikio yotote duniani ladhi ya mke ipo kweliii
Tiririka mama tiririkaStory ndefu aisee
mkuu angalu ukisoma hivi unaona kumbe siko peke yangu nliyewahi fanyiwa dhulma inasaidia kidg kutofanya maamuzi ya ajabu,Samahani nilikuwa nauliza huu ni Uzi wa "kujiliwaza" au "kukumbusha" machungu yenu
mama angu mimi kanitapeli milioni mbili mwaka huuhuu...hata huwa hainiumi
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee