Mimi sio mtakatifu and sifaham inakuaje mnanichukulia hivyo na wala sina akili kabisa kama unavyosema. Huku duniani nina mambo yangu ya ajabu. I'm just a random guy!una utoto mwingi hujiamini kwanini, maandiko yako kama mi hayanivutii kuna yanaowavutia kufuta ndo unadhihirisha kuwa hujiamini na hujapevuka kichwani mwako,, unaweza kuwa na akili ila kuchanganua mambo ukawa zero
Rekebisha mwandiko basi, mi nakuonaga km mvulana aliye kwenye balehe,Mimi sio mtakatifu and sifaham inakuaje mnanichukulia hivyo na wala sina akili kabisa kama unavyosema. Huku duniani nina mambo yangu ya ajabu. I'm just a random guy!
Sawa haina shida!Rekebisha mwandiko basi, mi nakuonaga km mvulana aliye kwenye balehe,
Kazi ipo we jamaa mbishi kinoma km tuko debate vileSawa haina shida!
Still I wonder what did I wrong you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamekula sana mdinyo usio rasmi aisee
Was nice to conversate with you Kapeace...😘Kazi ipo we jamaa mbishi kinoma km tuko debate vile
Turudi kwenye mada, vipi ulipigwa bomba utotoni,, najua utakataa maana itaonekana huna rinda, japo inasemekana wanaume waliopigwa hiyo kitu wako gudi kwa bed nguvu sio tatizo kwao
Nimekuja. Hii nimewapiga sana watu bomba. Nlijifunzia Kigoma.inasaidia sana kuondoa uchafu tumboni na utumboni...ambao pia husababisha sumu mwilini.Chizi Maarifa kuja huku
Kwa hiyo wanaume karibia wote wa Kigoma wametumia bomba?Mila miracle
Mwamba umerudi?[emoji848]Comment deleted!
Aisee. Wapimwe marindaKigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.