Baada ya Mwalimu kufariki, CCM ilikufa kikasalia kigroup cha wachumia tumbo hadi leo!JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.
Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida. May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Acheni kubeza maamuzi wa wananchi nyie manyumbu...mnataka kuaminisha watu kwamba kura ziliibwa..mnajidanganya wenyewe..sisi wananchi ndio tumepiga kura na tunajua Nini tulichofanya..adhabu tumewapa na nendeni mkajifunze siasa Tena..pumbuf kabisa...nendeni mkakae na wazungu wenu ambao watawaweka ikulu Sasa...si hao ndio mnawaamini...nendeni kwao ili wawalete ikulu...mnaumwa vima nyinyi...shwainnnyyyyy....nawaambieni leo tukirudia uchaguzi nakwambia mnaweza kuona maajabu...hata kura moja hamtaambulia, zile mlizoambulia shukuruni Mungu Sana..msimdhihaki Mungu
Mwinyi alimruka futi mia January makamba kama hamjui kuweka picha tuNawe Vaa viatu vyake uone, familia imeshaangaliwa vyema hataki bughudha.
Hata Mzee Ally Hasan ukimuuliza atakwambia "naomba mniache please".
Asiridhie ilhali mwanae na mkewe wamepewa ubunge?
Musolini wakati anaeneza ufashisti huko Italy aliwaziba mdomo hadi viongozi wa kiroho kwa kuwapa waliyohitaji kisha wakakaa kimya!!
Kuhani mkuu KAYAFA anaishi mule mule katika nyendo za Musolini. Anawapa vipande vya Fedha makasisi kwa mashemasi plus wazee wa baraza ili atawale vizuri katika ukuhani wake.
KAYAFA ameiweza sana hekalu hii.
Sasa ungejuaje kama ana mawazo hayo aliyoyatoa?Mbona sasa umejibu? Si unhgenyamaza tu uonekane wa maana kusimamia usemi wako kuwa Uchaguzi umeisha! Else acha nikusababishie msongo wa mawazo na wewe kwa kuona uharo uliomo kwenye post yako!
Uchaguzi umekwisha, mpinzani mkuu yupo ubelgiji. JK akisema haukua wa haki utafanya nn?
Wewe endelea kuweweseka, uchaguzi umeisha, watu makini wanajadili uchaguzi ujao!JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.
Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.
May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Haha hahahah njooni tena 2025..nendeni mkajipange na kujifunza upya...tuambie ni role ya mawakala wenu ilikuwa nini labda...Je mliwaruhusu washirikiane na ccm kufanya unayolala mikia. Tuambie ni tuelewane basiWananchi gani? Ule ushenzi, uhayani, ukatili wa wazi na umwagaji damu tumeeuona kwa macho yetu. Kwenye nchi za madictator uchaguzi huwa unafanywa na vyombo vya dola, kisha inafanyika propaganda ya nguvu kushurutisha watu waamini kuwa ni maamuzi ya wananchi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mkuu! Kama hujui kilichofanyika,busara ni kunyamaza. Tunaojua kilichofanyika tunabaki na maumivu yetu moyoni maana nyeusi iliitwa nyeupe na ikawa hivyo mpaka leo.Acheni kubeza maamuzi wa wananchi nyie...mnataka kuaminisha watu kwamba kura ziliibwa..mnajidanganya wenyewe..sisi wananchi ndio tumepiga kura na tunajua Nini tulichofanya..adhabu tumewapa na nendeni mkajifunze siasa Tena.....nendeni mkakae na wazungu wenu ambao watawaweka ikulu Sasa...si hao ndio mnawaamini...nendeni kwao ili wawalete ikulu...mnaumwa vima nyinyi.......nawaambieni leo tukirudia uchaguzi nakwambia mnaweza kuona maajabu...hata kura moja hamtaambulia, zile mlizoambulia shukuruni Mungu Sana..msimdhihaki Mungu
Hoja hujibiwa kwa hoja. Achamipasho kama H. Kopa.Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Dc hachaguliwi. Huteuliwa.Mwaka yeye Jenerali Ulimwengu alichaguliwa kuwa D.C. (mkuu wa wilaya), vipi uchaguzi ulikua wa uhuru na haki?
Tunaelekea kubaya sana. Siku hizi waimba mapambio wa mhutu ndiyo raia wema. Wenye mtizamo kinzani na jiwe ni maadui wa taifa.Kwaheri whisk kama ndio inatepesha macho namna ile. Mimi nikajua mimi ndio nayaona peke yangu. Dingi yule kweli atakuwa na damu ya mchina maana si kwa kuinanga nchi yetu kila akibinua mdomo.
As same as jiwe.Huyu alikuja toka Burundi akiwa mtoto, karibia Kijiji Chao chote walikuwa wahamiaji.
Jenerali Ulimwengu ana hasira ya kukosa soko la magazeti yake. Maana sasa hivi nani atanunua Raia mwema? Hakuna cha kumkosoa JPM.
Uchaguzi hapa Tanzania upo huru na wa haki, ndio maana unafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria,kila chama kinatakiwa kuweka mawakala kulinda kura zao. Kusema wakurugenzi waliamrishwa kutangaza wagombea wa CCM mtu kama Jenerali Ulimwengu kulishadidia ni kujidhalilisha.
Natabiri 2025 yasipofanyoka marekebisho ya katiba waipendao ccm tu ndiyo watapiga kura.Tutalialia hivi, tutasahau na mwaka 2025 tutaenda tena kwenye chaguzi kwa confidence na tambo kubwakubwa huku tukijua hakuna kilichobadilika kwenye mfumo mzima wa kuendesha chaguzi zetu
Kaeleza ukweli unamuita msomali, unamaanisha wa Somali ndiyo wanasema kuweni?Rudi kwenu Somalia jombaa
HahahahaAangalie asije akanyang'anywa tena Uraia maana huyu ni mwanafunzi wa yule muasisi wa kuvuana uraia.
Kwani Jenerali Amelialia? Wewe vipi?Then what next au solutions ndio kulialia kwenye PDF hivyo.
Nadhani ulimuona mzee Mwinyi alivyokua kama kondoo aliyenyeshewa mvua, imani ya dini ilimtoka huku akiwa na wagombea wa tatu toka familia moja huko Zanzibar! Zamu ijayo ni yake JK hayo mengine ni yenu nyie msiojua kuwa pesa ni haramu, si mmemuona mama mliyekuwa mnauita mcha Mungu alivyobadilika? Hata mkimpa kura zote Lissu CCM ndiyo itaunda serikali!JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.
Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.
May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!