Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

anacheza huyu hivi mzungu ameinvest sehemu kwa karne halafu mtu anakwambia vitoto, kuna watu hawatumii akili kabisa ,
 
Duh hao wanajeshi waliochinjwa ni wanajeshi wa jeshi gan mkuu ni kongo au south au m23 Mr Putin
 
Hivi kwa nini M23 hadi sasa haijatambuliwa kuwa ni kikundi cha kigaidi?
Kwa nini Congo yenyewe, Marekani, Ulaya na mataifa mengine ya Afrika Mashariki kitu gani kimewazuia kukiita kundi la kigaidi?
Mimi binafsi najisikia kukereka na kupata hasira sana kusikia kila mara vita ya Congo.
 
Hivi rais wa Congo Felix Chisengedi ni Mcongomani kweli?
Kama vile hayuko serious kuitetea nchi yake dhidi ya Wanyarwanda au ana damu ya Kinyarwanda au Uganda?
 
 
Wakuu,

Habari ndio hii ya uhakika kutoka Reuters, M23 wanasema wataanza kuingia Goma usiku wa leo wananchi wengi wamevuka na kwenda Gisenyi ili kuepuka shelling.

Congo's M23 rebels say they will seize eastern city overnight​

By Reuters
January 26, 202510:20 PM GMTUpdated 10 min ago
 
Kuna ushirikiano mzuri sana! Tulijua ni JWTZ pekee yao ndiyo wamefanya kazi hiyo.
Ukifiatilia deeply JWTZ hawajawahi kufanyaa maajabu huko, bora hata Wakenya walipokuwepo kuliko hawa wetu.
Lakini wale wa
Vita ni biashara na uchumi kwa mataifa mengine. Lakini hao M23 kwanini hawadhibitiki, au huo ndio uwanja wa majaribio ya silaha zao?
DRC itakuwa kama Israel na palestina, Sioni ni namna gani watapata suluhu ya kudumu.
Hatutakuja kuwa na suluhu ya kudumu, aliyewahi kufika maeneo hayo atakwambia jinsi hao wahuni wanavyokibalika na wengi. Support ya wakulungwa wa huko ndiyo nguvu yao otherwise wangeshapotea kitambo sana.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250127-020923.jpg
    78.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250127-020959.jpg
    127.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…