Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Waziri Mkuu wa Israel ametumia Trick ya movie ya The God FAther😁😁 Michael alikuwa Kwenye Ibada ya Ubatizo ,huku kikosi chake cha mauaji kinamaliza Madoni wote kwenye 5 strong Mafia Families of Newyork.. Nasra alijua kuna Mapumziko ya mvua ya Makombola ya Israel kwa sababu Netanyau yupo UN anatoa speach , akaitisha kikao cha kupanga mikakati akijua yupo salama kumbe was their Last supper Kaboom🤣
 
Netanyahu mwenyewe is the Don Mafia himself😅
 
Si ndo nyie mlikuwa m
naleta threads za kuionya Israel eti itakutana na jeshi machachari la Hezbollah humu ndani? MNapendaga sana ushabiki wa kindezi. Nawazumugi mnapoishangilia Urusi kwa sababu za kijinga tuu. Onjeeni hicho kikombe. Huyo Irani mwenyewe ni mbwa koko tuu anayebweka hovyo.
 
Kichapo wanachopewa hao jamaa ni kipigo cha Mbwa Koko 😀
 
Hezbollah ina nguvu kuliko Jeshi la Lebanon for your information.

Ni makubaliano Kati ya Wakristo, Wasunni na Washia kuwa Jeshi lao litakuwa dhaifu hili Jeshi la nchi lisije kutumiwa na Dhehebu lolote la Dini.

Nashrallah Ndio alikuwa de-facto dictator wa hiyo nchi.


View: https://x.com/amjadt25/status/1839778211003060404
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…